johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
😂😂😂Waziri wa zamani wa uvuvi Ruhaga mpina ametoa tuhuma kwa waziri wa fedha mwigulu Nchemba kuwa ameiibia serkali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR View attachment 2595078