pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hivi hiki chama hakijatokana na yule mwovu kweli!CCM ni walewale na mambo ya wizi na upigaji na matumizi mabaya ya fedha za Wananchi masikini ni yale yale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hiki chama hakijatokana na yule mwovu kweli!CCM ni walewale na mambo ya wizi na upigaji na matumizi mabaya ya fedha za Wananchi masikini ni yale yale.
Kama ni kweli Mbowe atajiuzuru, basi atakuwa anajiuzuru pamoja na kuiacha CHADEMA ikiwa mahututi. Ni kama kujiuzuru kwake ni pamoja na kuiua CHADEMA yenyewe.Wengi wamekuwa wakisema humu ndani kwamba kwenye maridhiano unapata baadhi, na kupoteza baadhi, kwa hali ya mambo ilivyo naona kama Chadema ndio wamepoteza vikubwa zaidi.
Zile kelele za Katiba Mpya toka kwao siku hizi siziskii tena, kama ambavyo imekuwa kwa CCM wenyewe, hili siamini kama linatokea bahati mbaya, kuna namna...
Nimekuja kuona panatakiwa kufanyika mabadiliko ya uongozi Chadema kabla ya 2024, ili wajiandae kwa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu wa 2025.
Mbowe alishasema atajiuzulu this year, bahati mbaya naona kimya kimetawala, kuna wakati nahisi kama anamsindikiza Samia kuelekea 2025, hasa kwa kutazama mwendelezo wa matukio yanayotokea chamani kwao.
Kuhusu Chadema kujisalimisha kwa CCM 100% tukifika 2025 haitakuwa rahisi, naona watakachofanya wataokoteza ajenda nyepesi nyepesi waende nazo 2025 ili kumlinda Samia, kama ambavyo wameshafanya kwa uchambuzi wa nusu ripoti ya CAG.
Naona mzizi wa haya yote ni kuchanganya biashara na siasa, na haya ndio matokeo yake kwa chama chote kujikuta kinapelekwa kwa matakwa ya status ya kiongozi wao.Kama ni kweli Mbowe atajiuzuru, basi atakuwa anajiuzuru pamoja na kuiacha CHADEMA ikiwa mahututi. Ni kama kujiuzuru kwake ni pamoja na kuiua CHADEMA yenyewe.
Mambo aliyofanya toka atolewe jela yamekuwa ni ya kuipoza CHADEMA iliyokuwa tayari moto kuelekea kwenye mapambano ya kweli na CCM.
Kwa kumtumia Mbowe, Samia ni kama kawakata miguu yote CHADEMA.
Bado ninaamini, hata kama Mbowe atajiuzuru, kama kiongozi wa CHADEMA, bado atakuwa ni sehemu muhimu kwa agenda ya Samia hapo 2025. Namwona Mbowe akiwa sehemu ya serikali ile itakayoingia madarakani 2025
Kuhusu hatma ya CHADEMA yenyewe, hata kama hawatajisalimisha moja kwa moja kwa CCM, watabaki wakiwa chama dhaifu sana kuliko ilivyowahi kuwa CHADEMA ilipokuwa kwenye kilele cha umaarufu kama chama Kikuu cha Upinzani.
Viongozi watakaochukua mikoba baada ya Mbowe itawawia ngumu sana kuanza kukijenga chama chao upya na kukiimarisha.
Labda niseme hivi. Kama haitawezekana kwa CHADEMA kujisalimisha kwa CCM ya Samia moja kwa moja kwa kuunda muungano wa aina ile tunayoiona kule Kenya, basi hilo litatokana na baadhi ya viongozi wachache walioko huko CHADEMA kukataa kujisalimisha kwa CCM.
Viongozi hawa watakuwa na kazi ngumu sana ya kuhakikisha CHADEMA haigawanyiki vipande vipande. Na hata ikisalimika, nguvu za chama hicho zitakuwa zimefifia sana.
Komredi Makonda apewe WizaraWaziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
Tatizo huyu Mpina Huwa anaongea Kwa assumptions na Kwa sababu za shida yake binafsi na Mwigulu hivyo hoja inakosa mantiki.Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
Mzee wa samaki rulaWaziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
Kazi bure kupiga kelele dhidi ya wezi wanaosimamiana, kumbuka waliambiwa kila mtu akale kwa urefu wa kamba yake.Waziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
MaokotoWaziri wa zamani wa uvuvi Luhaga Mpina ametoa tuhuma kwa Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuwa ameiibia Serikali pesa katika miradi wa SGR zaidi ya trilioni1.7 .
Hii ni zaidi ya ile kelele ya trilioni 1.5 ya utawala wa hayati Magufuli na ni nusu ya wizi wote alioutaja CAG katika report yake ya jumla ya trilioni 3.5 kwa wizara yote.
Kumbe yale mabasi na matimu ya mpira ni pesa za walipa kodi
USSR
View attachment 2595078
Not serious bro. It's very very extra serious allegations aisee.Let"s see if investigations will be immediately conducted by higher authority of his or by the newly just apptd senior ccm party cadre!This is serious allegation...