Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Kama ni kweli Mbowe atajiuzuru, basi atakuwa anajiuzuru pamoja na kuiacha CHADEMA ikiwa mahututi. Ni kama kujiuzuru kwake ni pamoja na kuiua CHADEMA yenyewe.

Mambo aliyofanya toka atolewe jela yamekuwa ni ya kuipoza CHADEMA iliyokuwa tayari moto kuelekea kwenye mapambano ya kweli na CCM.
Kwa kumtumia Mbowe, Samia ni kama kawakata miguu yote CHADEMA.

Bado ninaamini, hata kama Mbowe atajiuzuru, kama kiongozi wa CHADEMA, bado atakuwa ni sehemu muhimu kwa agenda ya Samia hapo 2025. Namwona Mbowe akiwa sehemu ya serikali ile itakayoingia madarakani 2025

Kuhusu hatma ya CHADEMA yenyewe, hata kama hawatajisalimisha moja kwa moja kwa CCM, watabaki wakiwa chama dhaifu sana kuliko ilivyowahi kuwa CHADEMA ilipokuwa kwenye kilele cha umaarufu kama chama Kikuu cha Upinzani.

Viongozi watakaochukua mikoba baada ya Mbowe itawawia ngumu sana kuanza kukijenga chama chao upya na kukiimarisha.

Labda niseme hivi. Kama haitawezekana kwa CHADEMA kujisalimisha kwa CCM ya Samia moja kwa moja kwa kuunda muungano wa aina ile tunayoiona kule Kenya, basi hilo litatokana na baadhi ya viongozi wachache walioko huko CHADEMA kukataa kujisalimisha kwa CCM.
Viongozi hawa watakuwa na kazi ngumu sana ya kuhakikisha CHADEMA haigawanyiki vipande vipande. Na hata ikisalimika, nguvu za chama hicho zitakuwa zimefifia sana.
 
Naona mzizi wa haya yote ni kuchanganya biashara na siasa, na haya ndio matokeo yake kwa chama chote kujikuta kinapelekwa kwa matakwa ya status ya kiongozi wao.

Nikikumbuka yale mashamba yaliyoharibiwa, ile Billicanas iliyovunjwa, kama kuna namna yoyote yule bwana alifidiwa ile hasara aliyoipata naona kabisa kisaikolojia ameshakamatwa akili, na bahati mbaya madhara ya kukamatwa kwake akili yanakiathiri mpaka chama anachokiongoza.

Kwenye huu mchezo mpaka sasa Samia ndie mshindi, na hata kama hatagombea 2025 bado mgombea atakayesimama ataikuta Chadema laini sana, labda yatokee mabadiliko ya ghafla kwa Chadema kuamua kurudi kwenye ile itikadi yao ya miaka ya nyuma kwa muda huu tuliopo.
 
Naona kuna vita fulani fulani zinaendelea chini kwa chii. Lakini ngoja tuone kitaeleweka tu
 
Wabongo wana tabia ya kupakaziana uongo ndo maana Mimi ili nimuamini mtu lzm ushahidi uwe mbele kama tai na sio maneno matupu.
 
Haya Mambo bila ushahidi haipendezi ushauli wangu wa bure ukitwa ulete ushahidi na ukakosa uwenda ukaicha familia yako ikitabika kwa maneno ya kuskia vijiweni ,ni mawazo yangu tu,
 
Komredi Makonda apewe Wizara
 
Tatizo huyu Mpina Huwa anaongea Kwa assumptions na Kwa sababu za shida yake binafsi na Mwigulu hivyo hoja inakosa mantiki.

Hoja yake ya msingi ambayo niliwahi kuiona na Bunge lilitakiwa kutoa Maazimia ipate majibu ni kuwalipa Dowans na wengineo kimya kimya bila kibali,na kesi za malimbikizo ya Kodi.
 
Mzee wa samaki rula
 
Kazi bure kupiga kelele dhidi ya wezi wanaosimamiana, kumbuka waliambiwa kila mtu akale kwa urefu wa kamba yake.
 
Maokoto
Your browser is not able to display this video.
 
This is serious allegation...
Not serious bro. It's very very extra serious allegations aisee.Let"s see if investigations will be immediately conducted by higher authority of his or by the newly just apptd senior ccm party cadre!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…