Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mikate mkuu.Sasa kama maharage na nyama bei juu tule nini???
Two wrongs don't make it right, watakuja wale wa mbona ....... angalia hoja nyakati za sasa.
Kwa hiyo anatuaminisha kwamba serikali imeshindwa kudhibiti uvuvi haramu?
Inanunulika basi hiyo mikate?Mikate mkuu.
Kuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea ugumu wa maisha kwa wananchi.
Anataka apewe rula tena akapime samaki? Apeleke kiherehere kaburini Chato!
Kila kitu ujuaji na kubishi,muwe mnaona aibu muda mwingine.
Nyie mnaona bora wavuliwe waishe tuuuu
Vijana wa cc msijifanye hamjui nini kifanyike mnajua sana na kuna wkt mnaona haibu kusema itumike njia kam aliyotumia the late JPM kuzuia kwa muda uvuvi wa samaki wadogo na kuwepo kwa usimamizi kwa wavuvi.Hatua gani Sasa zichukuliwe?