Kupima samaki kwa rulaHatua gani Sasa zichukuliwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupima samaki kwa rulaHatua gani Sasa zichukuliwe?
Halafu bado sijaelewa , ziwa ambalo liko hadi nchi zingine inakuwaje mtetezi wake anakuwa Mpina tu , kwamba uganda hawali samaki ?Nyie mnaona bora wavuliwe waishe tuuuu
Mawazo mazuri, lakini solution ni kuanzishwa kwa ufugaji wa samaki wa vizimba kwa wingi, hapo hakutarajii uvuvi haramu. Kwani kuongeza kikosi kazi vya kuzuia uvuvi haramu ni kuongeza haramu. Hizo fedha zielekezwe kwenye ufugaji samaki kwa vizimba. Wakianzisha ufugaji huo, ndio ziwa litapata nafasi ya kupumua. Lazma ukifunga ziwa kuzalisha wavuvi hawakai bureTumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Kazi ya msukuma na timu yake na hatuq za makusudi zisipochukuliwa lengo lao litatimia!!Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Swimming pool inakuaga na samaki? Aaah ushambaTumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Sato anayefugwa si sawa na yule wa asiliWekeni nguvu watu wafuge samaki na serikali zalisheni vifaranga za kutosha na waachilieni ziwani kuongeza population.
hatua inayotakiwa kuchukuliwa ni kuzuia uvuvi haramu pia njia nyingine ni kuzuia uvuvi kwa muda fulani ili samaki wazaliane.kwa ukweli samaki wanaovuliwa kwa sasa ktk ziwa hilo ni wadogo sana na hasa ktk mialo ya bukoba.utakutana na wachuuzi wamebeba sangara na sato wadogo utadhani ni ngege (Tilapia).wavuvi wengi hutumia zana haramu ili kuharibu mazalia ya samaki hivyo wakifanya kama ninavyofikiria hali itabadilika.Hatua gani Sasa zichukuliwe?
jamani lugha zingine ni idiomatic hamainishi swimming pool kama unayoijua.maana yake kutakuwa na upungufu mkubwa wa samaki.Swimming pool inakuaga na samaki? Aaah ushamba
Mwamba mbona unazingua asili ya wapi tena, hata huyo uliyenaye alitolewa sehemu ndio akaletwa victoria, hizi ndio fikra tunataka mzitoe vichwani mwenu dunia inatembea na unaweza jifunza na kuchukua mengine kutoka kwa wengine, nchi ni ya kwetu wote, nyie mlioshika hatamu ndio sikilizeni na yale msiotaka kusikia pia.Sato anayefugwa si sawa na yule wa asili
Kipindi cha luhaga mpina kama hujui alichofanya!?, utakuwa umezaliwa juzi,au dish limeyumba,Unaona mawazo yako sasa, ulisikia wapi dunia inarudi reverse hilo ziwa kwa taarifa yako miaka millioni iliyopita lilikuwa linafika mbali sana ila shughuli za kibanadmu na mito kupeleka michanga linajifukia, siaka miaka mingine mbele kama hatua hazikuchuliwa sasa linapoteza sababu ya kuzalisha samaki wengi.
Ebu soma vizuri tunazoandika wenzio inawezekana hujaelewa, watu wengi wakifuga tasnia inakuwa, ziwa lina matumizi mengi. Shida sio kuingiza kiasi gani hapa shida ni uwekezaji wa kile mnachoingiza. dunia inataka watu wa mawazo tofauti na yenu. Ebu dogo vuta pumzi achana na hizo cent unazolipwa kujaza thread humu vaa viatu wa watz wenzio na angalia mbele hii nchi sio ya hao mabwana zako wanaokulipa uandike humu. Nchi ni yetu sote Mpina alikuwa Waziri nini amefanya katika maendelea ya Uvuvi ziwa Victoria???/ zaidi ya ukuda na ushamba tu
Hatua gani Sasa zichukuliwe?
Kwanini huwa wanakuja na maswali badala ya majibu
Zaidi ya ukuda na kutembea na ruler Hana legacy alioacha zaidi ya vilio na kuua BIASHARA za watu wadogoKipindi cha luhaga mpina kama hujui alichofanya!?, utakuwa umezaliwa juzi,au dish limeyumba,
Ni kweli mkuu na ni waongo haswaKwa sababu hawana majibu ya uhakika
Pole sana dogoMwamba mbona unazingua asili ya wapi tena, hata huyo uliyenaye alitolewa sehemu ndio akaletwa victoria, hizi ndio fikra tunataka mzitoe vichwani mwenu dunia inatembea na unaweza jifunza na kuchukua mengine kutoka kwa wengine, nchi ni ya kwetu wote, nyie mlioshika hatamu ndio sikilizeni na yale msiotaka kusikia pia.
Sato na Sangara wameletwa tu victoria sio asili yake pia.
Kuna sehem umeongea vizur ila inaonesha upo radhi wavuvi wavue mpka madhalia au nmekuelewa vibaya?Huyu mwamba anakili mgando sana na kamwe hataki kubadilika katika kutafuta soln tofauti na anayo amini yeye, Uvuvi wa ziwani ni serikali kuwekeza serious kwanza katika kuzalisha vifaranga vya sangara, kuhamasisha jamii zinazozunguka ziwa kufuga samaki kisasa zaidi. Serikali iache kuvuna isichopanda na kuacha ubabe wa kishamba katika kutatua matatizo serious.
Mpina alikuwa waziri na alitumia muda mwingi kukamata na kuzunguka na ruler na mpaka leo hataki kuamini kama zipo njia janja rahisi na zenye matokeo makubwa kuliko.
Wekeni nguvu watu wafuge samaki na serikali zalisheni vifaranga za kutosha na waachilieni ziwani kuongeza population.
Zile tabia za uharibifu wa mazingira ndio kuangalia maji yanayoingia ziwani yanatoka wapi na yanakuja na nini katika kuharibu ziwa, kuongeza shughuli za uzalishaji mali kwa jamii kutafuta njia mbadala za kujikimu kupunguza shughuli za binadamu ziwani na kuweka hifadhi, kama vile mmetumia zaidi ya Tillioni 6 kujenga bwawa watu wapate umeme sasa tafuteni trilioni zingine 3 tu wekeni ziwani muone kama samaki wataongezeka au lah, hizi za kuendelea kusingizia raia maskini shida za kushindwa kutumia akili ni ushamba.