Ninakushangaa wewe mkuu Erythro!
Katika hili nipo sana na Mpina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakushangaa wewe mkuu Erythro!
Hapana tubaki hivihivi, samaki waishe ziwa tulitumie kuogelea. Peleka ajenda kwenye chama
Huyo ni kichaa kama yule mwovu aliyeko motoni sasa apuuzwe tuTumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Ataekewaje naye fuvu la kichwa chake limejaa kamasi tu?Kwanza hiyo picha umeielewa ?
Hadi raha walahiKuna taarifa zinaenea sana mitandaoni zikimhusisha Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Musukuma na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kufadhili vitendo vya uvuvi haramu ili waweze kutajirika kupitia uvuvi haramu na kusababisha kuadimika kwa samaki na dagaa Ziwa Victoria na kuchochea ugumu wa maisha kwa wananchi.
Msukuma anadaiwa kuendesha makundi makubwa ya wavuvi haramu na kuwahakikishia kuwa hawatakamatwa kwa kuwahadaa kuwa Rais Samia amekataza wananchi wasikamatwe waachwe wavue wanavyotaka kama sehemu yake ya kufungua nchi na kukuza biashara.
Msukuma anatuhumiwa kutumia jina la Rais vibaya kwa kushirikiana na Waziri Mashimba Ndaki ambaye jana Rais Samia ametangaza kukosa imani nae kutokana na usimamizi mbovu wa wizara yake.
Mashimba naye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kuhusiana na kushamiri kwa uvuvi haramu Ziwa Victoria na hadi Gazeti la Raia Mwema liliwahi kuripoti juu ya Hatari ya kwisha kabisa kwa samaki katika Ziwa Victoria lakini Waziri huyo anadaiwa kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote kwa kuwa Rais amekataa wananchi wasionewe.
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Ditopile akichangia bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2022/2023 Bungeni alieleza bayana hali ni mbaya ya kukosekana kwa samaki Ziwa Victoria na kutishia viwanda kufungwa lakini Waziri hakusikiliza ushauri huo na kuendelea kuwaagiza maafisa wake wasimkamate mtu yoyote.
Ukizoea dhuluma huwezi kuja na jibu ,ila anaonekana mlalamikaji m-bayaKwanini huwa wanakuja na maswali badala ya majibu
Umeandika kitu usichokielewa ! Pole sana yaani mhhh. Bora kama huna hoja ungepita tuHuyu mwamba anakili mgando sana na kamwe hataki kubadilika katika kutafuta soln tofauti na anayo amini yeye, Uvuvi wa ziwani ni serikali kuwekeza serious kwanza katika kuzalisha vifaranga vya sangara, kuhamasisha jamii zinazozunguka ziwa kufuga samaki kisasa zaidi. Serikali iache kuvuna isichopanda na kuacha ubabe wa kishamba katika kutatua matatizo serious.
Mpina alikuwa waziri na alitumia muda mwingi kukamata na kuzunguka na ruler na mpaka leo hataki kuamini kama zipo njia janja rahisi na zenye matokeo makubwa kuliko.
Wekeni nguvu watu wafuge samaki na serikali zalisheni vifaranga za kutosha na waachilieni ziwani kuongeza population.
Zile tabia za uharibifu wa mazingira ndio kuangalia maji yanayoingia ziwani yanatoka wapi na yanakuja na nini katika kuharibu ziwa, kuongeza shughuli za uzalishaji mali kwa jamii kutafuta njia mbadala za kujikimu kupunguza shughuli za binadamu ziwani na kuweka hifadhi, kama vile mmetumia zaidi ya Tillioni 6 kujenga bwawa watu wapate umeme sasa tafuteni trilioni zingine 3 tu wekeni ziwani muone kama samaki wataongezeka au lah, hizi za kuendelea kusingizia raia maskini shida za kushindwa kutumia akili ni ushamba.
Kumbe jamaa ni sakala !!Huyo ni kichaa kama yule mwovu aliyeko motoni sasa apuuzwe tu
Luhaga Mpina ni mtu wa hovyo tu, tapeli wa kisiasaTumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Cage fishing. Pamoja na uzalishaji wa chakula cha samaki. Wakati Kenya na Uganda wanaanza aina hii ya ufugaji Serikali yetu ilikataa na kupiga marufuku Tanzania kufanya ufugaji wa cages! Wanakuja kukumbuka shuka asbh😭 ina inatakiwa userious kweli kweli kuongeza wingi wa samaki lake Victoria sio taasisi moja au wizara usika peke ake- inatakiwa Serikali ije na mpango kazi wa maana na wenye tija ili ziwa lijae tena samaki. Tukiingiza siasa Kwenye mambo yanayoitaji Sayansi kama kawaida yetu ! Tumekwisha. Cage moja inauwezo wa kuchukua samaki mpaka 10,000. Na i wapo watalishwa vizuri samaki wanafikia uzito wa Nusu Kilo baada ya miezi 3! Cage moja ya uwezo wa samaki 10,000 ni TZs 3,500,000 from factory China. Mashine ya kuzalisha Chakula Bora cha samaki+Formular ya jinsi ya kuzalisha Chakula na virutubisho yenye uwezo wa kuzalisha tani 5-6 kwa siku ni TZs 7,500,000Hatua gani Sasa zichukuliwe?
Samaki Ziwa Victoria Wanavuliwa na kuuzwa kwenye Viwanda vya kuzalisha minofu ya Samaki Kenya, Uganda na Tanzania. Wanavuliwa pia kwa ajili ya kuliwa na wavuvi wadogowadogo na kusambazwa Kanda ya ziwa yenyewe na Tanzania nzima mikoa yote- hii pia ipo Kenya na Uganda. Ziwa pia lina changamoto ya Uvuvi haramu,Uchafu kuingia ndani yake, magugu maji ambayo yanapunguza maeneo ya mazalio ya Samaki na Chakula chao.Kwa hiyo anatuaminisha kwamba serikali imeshindwa kudhibiti uvuvi haramu?
Kama Waziri Bashe anavyogawa mashamba kwa vijana. Wavuvi wapewe maeneo ndani ya ziwa Victoria yenye Cages za let say 1 M fish wakiwa na vikundi vya wavuvi 10-20.Serikali ije na Data zinazoonyesha mahitaji ya Samaki kwa Siku ,Wiki na kwa Mwaka kwa Viwanda na wanaoliwa na Watanzania wote toka lake Victoria- Kisha ije na mikakati ya kufuga 80% ya total tonnage za samaki tunaokula kama nchi.Nchi hii taabu Sana. Kwahiyo Luhaga anasemaje? Anataka turudishe operesheni ya kupima urefu wa samaki aliyepikwa hotelini??
Serikali inapaswa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki wa kisasa
Vitavuliwa na zile Nyavu haramu na watauzwa kama dagaa😭wazalishe vifaranga wakavimwage ziwani, problem solved
Ufugaji wa kisasa ni wazo jema, japo sio suluhisho kwa short term. Miaka mitano iliyopita jumla ya samaki waliopatikana kwa ufugaji hawakuzidi tani 10,000, wakati waliovuliwa walikuwa tani 450,000 - 480,000. Baada ya kuhamasisha ufugaji wa vizimba, takwimu za 2022 zinaonyesha tunakaribia tani 30,000. Hapo ufugaji unachangia asilimia 6 tu ya samaki wote wanaozalishwa nchini. Ili ufugaji ufikie hata robo tu ya samaki wavuliwao, mapinduzi makubwa yatahitajika kwenye sekta ya ufugaji samaki. Tofauti yake, miunndombinu ya kuongeza samaki ziwani teyari ipo, ni kupambana na uvuvi haramu, kuzuia uchafuzi wa mazingira, kudhibiti uvuvi kwennye mazalia ya samaki na kufanya restoking...Nchi hii taabu Sana. Kwahiyo Luhaga anasemaje? Anataka turudishe operesheni ya kupima urefu wa samaki aliyepikwa hotelini??
Serikali inapaswa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki wa kisasa
Ni bora kurudi huko kuliko kuachia wapuuzi wachache kuharibu ziwa na samaki wetu!
Wewe ndo kichwa maji hata hujawahi kuvua unalaamu tu!Huyu mwamba anakili mgando sana na kamwe hataki kubadilika katika kutafuta soln tofauti na anayo amini yeye, Uvuvi wa ziwani ni serikali kuwekeza serious kwanza katika kuzalisha vifaranga vya sangara, kuhamasisha jamii zinazozunguka ziwa kufuga samaki kisasa zaidi. Serikali iache kuvuna isichopanda na kuacha ubabe wa kishamba katika kutatua matatizo serious.
Mpina alikuwa waziri na alitumia muda mwingi kukamata na kuzunguka na ruler na mpaka leo hataki kuamini kama zipo njia janja rahisi na zenye matokeo makubwa kuliko.
Wekeni nguvu watu wafuge samaki na serikali zalisheni vifaranga za kutosha na waachilieni ziwani kuongeza population.
Zile tabia za uharibifu wa mazingira ndio kuangalia maji yanayoingia ziwani yanatoka wapi na yanakuja na nini katika kuharibu ziwa, kuongeza shughuli za uzalishaji mali kwa jamii kutafuta njia mbadala za kujikimu kupunguza shughuli za binadamu ziwani na kuweka hifadhi, kama vile mmetumia zaidi ya Tillioni 6 kujenga bwawa watu wapate umeme sasa tafuteni trilioni zingine 3 tu wekeni ziwani muone kama samaki wataongezeka au lah, hizi za kuendelea kusingizia raia maskini shida za kushindwa kutumia akili ni ushamba.
Hapa lawama umeziona wapi, hapa yametoka mawazo mbadala, zipo njia nyingi ya kutatua shida za samaki Victoria. Value chain sio lazima uvue, wapo watu ndio wanavua sie tunaongeza thamaniWewe ndo kichwa maji hata hujawahi kuvua unalaamu tu!
Hao samaki wa kufuga ni potential kiasi gani kuweza kuzalisha zaidi ya ziwa? Mtu mweusi akili zake zina matatizo gani? Yani ziwa liko pale linakushinda unakimbilia kufuga samaki!Hapa lawama umeziona wapi, hapa yametoka mawazo mbadala, zipo njia nyingi ya kutatua shida za samaki Victoria. Value chain sio lazima uvue, wapo watu ndio wanavua sie tunaongeza thamani
Unaona mawazo yako sasa, ulisikia wapi dunia inarudi reverse hilo ziwa kwa taarifa yako miaka millioni iliyopita lilikuwa linafika mbali sana ila shughuli za kibanadmu na mito kupeleka michanga linajifukia, siaka miaka mingine mbele kama hatua hazikuchuliwa sasa linapoteza sababu ya kuzalisha samaki wengi.Ni bora kurudi huko kuliko kuachia wapuuzi wachache kuharibu ziwa na samaki wetu!
Ebu soma vizuri tunazoandika wenzio inawezekana hujaelewa, watu wengi wakifuga tasnia inakuwa, ziwa lina matumizi mengi. Shida sio kuingiza kiasi gani hapa shida ni uwekezaji wa kile mnachoingiza. dunia inataka watu wa mawazo tofauti na yenu. Ebu dogo vuta pumzi achana na hizo cent unazolipwa kujaza thread humu vaa viatu wa watz wenzio na angalia mbele hii nchi sio ya hao mabwana zako wanaokulipa uandike humu. Nchi ni yetu sote Mpina alikuwa Waziri nini amefanya katika maendelea ya Uvuvi ziwa Victoria???/ zaidi ya ukuda na ushamba tuHao samaki wa kufuga ni potential kiasi gani kuweza kuzalisha zaidi ya ziwa? Mtu mweusi akili zake zina matatizo gani? Yani ziwa liko pale linakushinda unakimbilia kufuga samaki!
Ukiwa failure kwenye akili huwezi kuwin chocote utabaikia kutapatapa tu!
Ushajiuliuza Tanzania inaingiza kiasi gani kutoka na uvuvi ziwa victoria? Unaongea tu ufugaji samaki kutokana na maneno ya motivational speaker!?