Luhaga Mpina: Ziwa Victoria linaenda kubakia kuwa swimming pool

Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Huyo ni kichaa kama yule mwovu aliyeko motoni sasa apuuzwe tu
 
Hadi raha walahi
 
Umeandika kitu usichokielewa ! Pole sana yaani mhhh. Bora kama huna hoja ungepita tu
 
Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Luhaga Mpina ni mtu wa hovyo tu, tapeli wa kisiasa
 
Hatua gani Sasa zichukuliwe?
Cage fishing. Pamoja na uzalishaji wa chakula cha samaki. Wakati Kenya na Uganda wanaanza aina hii ya ufugaji Serikali yetu ilikataa na kupiga marufuku Tanzania kufanya ufugaji wa cages! Wanakuja kukumbuka shuka asbh😭 ina inatakiwa userious kweli kweli kuongeza wingi wa samaki lake Victoria sio taasisi moja au wizara usika peke ake- inatakiwa Serikali ije na mpango kazi wa maana na wenye tija ili ziwa lijae tena samaki. Tukiingiza siasa Kwenye mambo yanayoitaji Sayansi kama kawaida yetu ! Tumekwisha. Cage moja inauwezo wa kuchukua samaki mpaka 10,000. Na i wapo watalishwa vizuri samaki wanafikia uzito wa Nusu Kilo baada ya miezi 3! Cage moja ya uwezo wa samaki 10,000 ni TZs 3,500,000 from factory China. Mashine ya kuzalisha Chakula Bora cha samaki+Formular ya jinsi ya kuzalisha Chakula na virutubisho yenye uwezo wa kuzalisha tani 5-6 kwa siku ni TZs 7,500,000
 

Attachments

  • 20CBF2C1-2F0C-45C9-BD82-7E442F9206EE.png
    25.8 KB · Views: 4
  • DA906776-11F4-4067-B91C-8E1152A62F3A.png
    20.4 KB · Views: 4
  • 072C3744-0F32-4DA2-B800-884E76236B48.png
    41 KB · Views: 4
  • 42830473-26DD-4F2A-8199-7C3027C1CF05.png
    41.5 KB · Views: 4
  • 5CD5BBCC-26DD-41ED-8B0F-3E645377F138.jpeg
    10.2 KB · Views: 4
  • EFFA0539-BD5A-407A-8DB4-03CDBA5F229B.jpeg
    11.4 KB · Views: 4
  • AD291771-585B-498B-99DB-75F71E42F2FF.jpeg
    11.9 KB · Views: 4
  • DEBDA0D8-9088-4FDB-806D-86DC80F1A7ED.jpeg
    12.5 KB · Views: 4
  • B0D8E33A-EB86-4B70-AE72-5F91F608CA34.jpeg
    10.5 KB · Views: 4
  • B6275AB4-D475-4226-A5A9-836C7D767082.jpeg
    5.4 KB · Views: 4
  • 248EDF19-2E83-44D7-A887-664C3FD658E1.jpeg
    10.1 KB · Views: 4
  • EDD8EC60-2913-4FC1-A166-013A65BB4E0C.jpeg
    13.7 KB · Views: 4
  • BE757956-2122-4B90-B936-D42B69802BD5.jpeg
    8.4 KB · Views: 4
  • 489096E5-259F-42E1-A347-6B33F0078717.jpeg
    10.5 KB · Views: 4
  • 1BD9252C-E9F5-4D4D-8ABB-55B40D2BE754.jpeg
    11 KB · Views: 4
  • FF67507D-D43D-4E41-A860-3789CE162C74.png
    204.6 KB · Views: 4
Kwa hiyo anatuaminisha kwamba serikali imeshindwa kudhibiti uvuvi haramu?
Samaki Ziwa Victoria Wanavuliwa na kuuzwa kwenye Viwanda vya kuzalisha minofu ya Samaki Kenya, Uganda na Tanzania. Wanavuliwa pia kwa ajili ya kuliwa na wavuvi wadogowadogo na kusambazwa Kanda ya ziwa yenyewe na Tanzania nzima mikoa yote- hii pia ipo Kenya na Uganda. Ziwa pia lina changamoto ya Uvuvi haramu,Uchafu kuingia ndani yake, magugu maji ambayo yanapunguza maeneo ya mazalio ya Samaki na Chakula chao.
 
Nchi hii taabu Sana. Kwahiyo Luhaga anasemaje? Anataka turudishe operesheni ya kupima urefu wa samaki aliyepikwa hotelini??

Serikali inapaswa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki wa kisasa
Kama Waziri Bashe anavyogawa mashamba kwa vijana. Wavuvi wapewe maeneo ndani ya ziwa Victoria yenye Cages za let say 1 M fish wakiwa na vikundi vya wavuvi 10-20.Serikali ije na Data zinazoonyesha mahitaji ya Samaki kwa Siku ,Wiki na kwa Mwaka kwa Viwanda na wanaoliwa na Watanzania wote toka lake Victoria- Kisha ije na mikakati ya kufuga 80% ya total tonnage za samaki tunaokula kama nchi.
 
Nchi hii taabu Sana. Kwahiyo Luhaga anasemaje? Anataka turudishe operesheni ya kupima urefu wa samaki aliyepikwa hotelini??

Serikali inapaswa kuwekeza kwenye ufugaji wa samaki wa kisasa
Ufugaji wa kisasa ni wazo jema, japo sio suluhisho kwa short term. Miaka mitano iliyopita jumla ya samaki waliopatikana kwa ufugaji hawakuzidi tani 10,000, wakati waliovuliwa walikuwa tani 450,000 - 480,000. Baada ya kuhamasisha ufugaji wa vizimba, takwimu za 2022 zinaonyesha tunakaribia tani 30,000. Hapo ufugaji unachangia asilimia 6 tu ya samaki wote wanaozalishwa nchini. Ili ufugaji ufikie hata robo tu ya samaki wavuliwao, mapinduzi makubwa yatahitajika kwenye sekta ya ufugaji samaki. Tofauti yake, miunndombinu ya kuongeza samaki ziwani teyari ipo, ni kupambana na uvuvi haramu, kuzuia uchafuzi wa mazingira, kudhibiti uvuvi kwennye mazalia ya samaki na kufanya restoking...
 
Wewe ndo kichwa maji hata hujawahi kuvua unalaamu tu!
 
Wewe ndo kichwa maji hata hujawahi kuvua unalaamu tu!
Hapa lawama umeziona wapi, hapa yametoka mawazo mbadala, zipo njia nyingi ya kutatua shida za samaki Victoria. Value chain sio lazima uvue, wapo watu ndio wanavua sie tunaongeza thamani
 
Hapa lawama umeziona wapi, hapa yametoka mawazo mbadala, zipo njia nyingi ya kutatua shida za samaki Victoria. Value chain sio lazima uvue, wapo watu ndio wanavua sie tunaongeza thamani
Hao samaki wa kufuga ni potential kiasi gani kuweza kuzalisha zaidi ya ziwa? Mtu mweusi akili zake zina matatizo gani? Yani ziwa liko pale linakushinda unakimbilia kufuga samaki!
Ukiwa failure kwenye akili huwezi kuwin chocote utabaikia kutapatapa tu!
Ushajiuliuza Tanzania inaingiza kiasi gani kutoka na uvuvi ziwa victoria? Unaongea tu ufugaji samaki kutokana na maneno ya motivational speaker!?
 
Ni bora kurudi huko kuliko kuachia wapuuzi wachache kuharibu ziwa na samaki wetu!
Unaona mawazo yako sasa, ulisikia wapi dunia inarudi reverse hilo ziwa kwa taarifa yako miaka millioni iliyopita lilikuwa linafika mbali sana ila shughuli za kibanadmu na mito kupeleka michanga linajifukia, siaka miaka mingine mbele kama hatua hazikuchuliwa sasa linapoteza sababu ya kuzalisha samaki wengi.
Ebu soma vizuri tunazoandika wenzio inawezekana hujaelewa, watu wengi wakifuga tasnia inakuwa, ziwa lina matumizi mengi. Shida sio kuingiza kiasi gani hapa shida ni uwekezaji wa kile mnachoingiza. dunia inataka watu wa mawazo tofauti na yenu. Ebu dogo vuta pumzi achana na hizo cent unazolipwa kujaza thread humu vaa viatu wa watz wenzio na angalia mbele hii nchi sio ya hao mabwana zako wanaokulipa uandike humu. Nchi ni yetu sote Mpina alikuwa Waziri nini amefanya katika maendelea ya Uvuvi ziwa Victoria???/ zaidi ya ukuda na ushamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…