Luhaga Mpina: Ziwa Victoria linaenda kubakia kuwa swimming pool

Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Mawazo mazuri, lakini solution ni kuanzishwa kwa ufugaji wa samaki wa vizimba kwa wingi, hapo hakutarajii uvuvi haramu. Kwani kuongeza kikosi kazi vya kuzuia uvuvi haramu ni kuongeza haramu. Hizo fedha zielekezwe kwenye ufugaji samaki kwa vizimba. Wakianzisha ufugaji huo, ndio ziwa litapata nafasi ya kupumua. Lazma ukifunga ziwa kuzalisha wavuvi hawakai bure
 
Acha samaki waishe tutakula mamba
 
Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Kazi ya msukuma na timu yake na hatuq za makusudi zisipochukuliwa lengo lao litatimia!!
 
Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
Swimming pool inakuaga na samaki? Aaah ushamba
 
Hatua gani Sasa zichukuliwe?
hatua inayotakiwa kuchukuliwa ni kuzuia uvuvi haramu pia njia nyingine ni kuzuia uvuvi kwa muda fulani ili samaki wazaliane.kwa ukweli samaki wanaovuliwa kwa sasa ktk ziwa hilo ni wadogo sana na hasa ktk mialo ya bukoba.utakutana na wachuuzi wamebeba sangara na sato wadogo utadhani ni ngege (Tilapia).wavuvi wengi hutumia zana haramu ili kuharibu mazalia ya samaki hivyo wakifanya kama ninavyofikiria hali itabadilika.
 
Swimming pool inakuaga na samaki? Aaah ushamba
jamani lugha zingine ni idiomatic hamainishi swimming pool kama unayoijua.maana yake kutakuwa na upungufu mkubwa wa samaki.
 
Sato anayefugwa si sawa na yule wa asili
Mwamba mbona unazingua asili ya wapi tena, hata huyo uliyenaye alitolewa sehemu ndio akaletwa victoria, hizi ndio fikra tunataka mzitoe vichwani mwenu dunia inatembea na unaweza jifunza na kuchukua mengine kutoka kwa wengine, nchi ni ya kwetu wote, nyie mlioshika hatamu ndio sikilizeni na yale msiotaka kusikia pia.
Sato na Sangara wameletwa tu victoria sio asili yake pia.
 
Tusimpuuze huenda akawa na hoja ya msingi!

Huenda anaona mbali zaidi.
 
Kipindi cha luhaga mpina kama hujui alichofanya!?, utakuwa umezaliwa juzi,au dish limeyumba,
 
Population control,
Kasi ya ukuaji Idadi ya watu lazima idhibitiwe vinginevyo rasilimali nyingi sana ziko hatarini.
Hatua gani Sasa zichukuliwe?
 
Pole sana dogo
 
Kuna sehem umeongea vizur ila inaonesha upo radhi wavuvi wavue mpka madhalia au nmekuelewa vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…