shabanmbarak JF-Expert Member Joined Aug 17, 2022 Posts 1,178 Reaction score 1,150 Feb 1, 2023 #61 Ihayabuyaga said: Kwa tangazo la kwamba kuna uvuvi haramu HAONI kama atasababisha samaki wetu watakosa soko ulaya? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwaio tusiseme TATIZO kisa tutakosa soko. VIP samak wakiisha lake Victoria demand ya soko tutaifix vip?
Ihayabuyaga said: Kwa tangazo la kwamba kuna uvuvi haramu HAONI kama atasababisha samaki wetu watakosa soko ulaya? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwaio tusiseme TATIZO kisa tutakosa soko. VIP samak wakiisha lake Victoria demand ya soko tutaifix vip?
Songambele JF-Expert Member Joined Nov 20, 2007 Posts 4,710 Reaction score 2,587 Feb 1, 2023 #62 shabanmbarak said: Kuna sehem umeongea vizur ila inaonesha upo radhi wavuvi wavue mpka madhalia au nmekuelewa vibaya? Click to expand... Sina mana hiyo kaka, nataka serikali iwekeze zaidi katika technolojia na tija kuacha business as usual
shabanmbarak said: Kuna sehem umeongea vizur ila inaonesha upo radhi wavuvi wavue mpka madhalia au nmekuelewa vibaya? Click to expand... Sina mana hiyo kaka, nataka serikali iwekeze zaidi katika technolojia na tija kuacha business as usual
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Feb 2, 2023 #63 Huko hatujali sie twatokea pwani kwenu twaja kuvuna