Luis Jose anabaguliwa na Waarabu?

Luis Jose anabaguliwa na Waarabu?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Faww_ARXoAAWgxM.jpeg

 
Kwenye hiyo picha sidhani kama ni ubaguzi... Mwangilie pia huyo namba 15...

Ukîfuatilia taarifa mbalimbali huko Misri, wenye timu hawamkubali yeye na Percy Tau... Wanaona kama walibebwa na Pitso...
 
Hajabaguliwa, maana ukicheki hao wawili wa mwanzoni kutoka kushoto nao hawajashikana mikono

Sometimes kubaguliwa kunapaishwa sana na sisi weusi wenyewe kwenye ku deal na vitu vidogo vidogo ambavyo havina tija yeyote.
Picha ipo normal
Video vipi mkuu?
 
Uzi umekaa kijingajinga sana!!! Sasa hapo Kuna ubaguzi gani?
 
Kuna muda ukitamani pesa nyingi unaishia kuishi maisha usiyoyapenda,haya haya ndo yanamtokea Cr7 angependa kupunguza mshahara wake mpaka sasa angekuwa ameshapata timu
 
Kuna video ya mazoezin pia inazunguka twitter kwenye mazoez hata pasi hawampi kabisa na wanajitenga nae bado naona hakuwa chaguo la uongoz zaid ya kocha pitso tu
 
Back
Top Bottom