Luis Jose anabaguliwa na Waarabu?

Luis Jose anabaguliwa na Waarabu?

Picha ipo normal
Video vipi mkuu?
Hivyo ni vitu vidogo sana kuanza kuvijadili kama indication ya ubaguzi

Nikweli waarabu ni wabaguzi ila hizi videos zinaweza kuwekwa kimitego tu watu waingie kwenye mjadala kujadili jambo ambalo halipo

Mfano utakuta hapo kulikuwa ni video ya dakika 20, dakika 19 zote zilionesha miqose anacheza mpira akipasiana na hao, lakini sekunde 10 zalilizofuata hakupewa mpira

Watu wanaotaka kufikisha habari wanayoitaka hawezi kukuwekea hiyo clip ya dakika 19, wataweka hicho ki clip cha sekunde kadhaa tu.

So kuna mengi yakusema lakini kwa hili bado haitoshelezi kusema jamaa anabaguliwa though sipingi kwamba haiwezekani.
 
ajabaguliwa,upande wa kulia kuna mchezaji kule yupo free kama Merquesone.
 
watu weusi kwa kweli tunatia aibu, yani malalamiko mengine dah !
 
Tunavyomfanyia Mzungu wa Simba ingekuwa mtu mweusi anafanyiwa Ulaya pasingetosha
Mzungu hajabaguliwa ila anaburudisha yeye na mandonga wapo katika lane moja
Wanaburudisha na kuifariji jamii ktk kipindi hiki cha misukosuko ya vita ukrine na kupanda gharama za maisha

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom