OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mmh mkuu umerudia spidi yako ya kila uzi kuwa wa kwanza kujibu..!Na achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎
AAH wapi napita tu mkuuMmh mkuu umerudia spidi yako ya kila uzi kuwa wa kwanza kujibu..!
Umefikia kiwango Cha juu sana cha roho mbaya, Kama uto mngekuwa wafuatiliaji wazuri kwenye sajili zenu hakika msinge mchukua mwana riadha Kisinda halafu mnakuja kumlinganisha na mchezaji bora Africa wa wiki LuisNa achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎
usimfananishe TK MASTER na vitu vya kijinga tafadhaliUmefikia kiwango Cha juu sana cha roho mbaya, Kama uto mngekuwa wafuatiliaji wazuri kwenye sajili zenu hakika msinge mchukua mwana riadha Kisinda halafu mnakuja kumlinganisha na mchezaji bora Africa wa wiki Luis
Chuki mbaya Sana bora ungekaa kimya tuNa achaguliwe tu, haina shida....
CHUKI YANGU SASA WE INAKUCHOMA NINI MASTA?Chuki mbaya Sana bora ungekaa kimya tu
Uto kama uto 🐸🐸🐸🐸🐸
Wachawai hao achana naoUmefikia kiwango Cha juu sana cha roho mbaya, Kama uto mngekuwa wafuatiliaji wazuri kwenye sajili zenu hakika msinge mchukua mwana riadha Kisinda halafu mnakuja kumlinganisha na mchezaji bora Africa wa wiki Luis
WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CAF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyaniusimfananishe TK MASTER na vitu vya kijinga tafadhali
kumbe mchezaji wa CUF 😂😂🤣🤣🤣 CIVIC UNITED FRONTWanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CUF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CUF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
Leo umenena kwa Lugha [emoji23][emoji23][emoji23]Na achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? [emoji706][emoji706]
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
👹👹👹👹👹kumbe mchezaji wa CUF 😂😂🤣🤣🤣 CIVIC UNITED FRONT
Na achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? [emoji706][emoji706]
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima