SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tuliza mshono basi hujapona vizuri ujueNa achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? [emoji706][emoji706]
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima