rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima"Na achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale agoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? 🚮🚮
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Yanga nae aliwahi kupigwa 4 kumbe nae ni...........Mkijipigia vibonde mnasumbua kweli😀😀
Wivu utawaua nyie UtopoloNa achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? 🚮🚮
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Unajtafutia dhambi kumfananisha miquison na TK master ni dhambi za kujtafutia kwa sauti ya haji mara[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji28]WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CAF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
Unawachamba ile mbaya sister. Watakukoma.... Huwa nasema ukimpata mdada anapenda mpira huwa hasikii haambiwi...😂😂😂😂😂😂Usiku silali waulize wanga wananijua mbona? Nikushangae wewe labda😂
Mkuu mbn hasira ivoNa achaguliwe tu, haina shida
Who cares?😎,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? [emoji706][emoji706]
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
TK Master size yake ya kufananishwa ni kina Usian Boltusimfananishe TK MASTER na vitu vya kijinga tafadhali
Jibu zuri..nami naiongezea a.k.a Shaban Djuma wa AS Vita.Akienda tutapata mabilioni, si vimilioni kama hao wa Utopolo! Tukipata mabilioni tutapata mchezaji mwingine mkali zaidi!!.