Luis Miqsonne achaguliwa mchezaji bora wa wiki CAFCL

Luis Miqsonne achaguliwa mchezaji bora wa wiki CAFCL

Halafu akichaguliwa mchezaji bora vpl kuna kenge zitabisha
 

Attachments

  • IMG-20210303-WA0000.jpg
    IMG-20210303-WA0000.jpg
    105.4 KB · Views: 1
Na achaguliwe tu, haina shida

Who cares?
😎,

Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale agoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? 🚮🚮

Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
"Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima"
Mbona unateseka sana kiongozi kwani mleta mada kasema hivyo?
Anyway nenda kaboreshe vyumba vya M6 hayo ndiyo mafanikio ya ya timu yenu.
#kilo800
NB😛ovu ruksa
 
wakuu kuna posho yyte hutolewa kwa mchezaji bora wa wiki??
 
Na achaguliwe tu, haina shida

Who cares?
😎,

Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? 🚮🚮

Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Wivu utawaua nyie Utopolo
 
WanaSimba acheni kumjibu huyu Kidimbwi anatafuta Kick kupitia nyuzi za WanaSimba. Mpuuzeni maaaana hata Mpira haujui maaana ana ushabiki Maandazi! Kisinda ambaye hayumo kwennye top 50 ya Wachezaji wa Timu ya Taifa ya DRC ndio umlinganishe na Konde Boy?? Mchezaji bora wa CAF kwa wiki?? Konde Boy kumfananisha na TK ni upungufu wa Akili uliopindukia. Luc Eyamel hakukosea kuwaita Nyani
Unajtafutia dhambi kumfananisha miquison na TK master ni dhambi za kujtafutia kwa sauti ya haji mara[emoji28][emoji1787][emoji23][emoji28]
 
Na achaguliwe tu, haina shida

Who cares?
😎,

Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? [emoji706][emoji706]

Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Mkuu mbn hasira ivo
 
Yanga bado Wana kibarua leo huko mkwakwani na jumapili sheh amri abeid huko Arusha. Wakiambulia point 2 washukuru Mungu
 
Back
Top Bottom