SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Tuliza mshono basi hujapona vizuri ujueNa achaguliwe tu, haina shida
Who cares?๐,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? [emoji706][emoji706]
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Acha waumie,na kama nikususa acha wasuse"kudadadeki"Yanga wanaumia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawaLeo umenena kwa Lugha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama vipi kunywa sumu ufe tu hakuna jinsi nyingineMCHEZAJI WA WIKI WA KIKOSI CHA CAFCL SIO BORA AFRICA NZIMA, HIVI SIMBA MKOJE?๐ณ๐ณ
Uchawi kitambo mbonaKama sio uchawi huu,basi kuna kitu zaidi ya uchawi kipo hatujakielewa
Kama hamna jinsi nyingine hamna shida ntavaa kadeti au ya Kitambaa.... ninywe sumu kisa 'mikisoni' cha kufia nini hasaKama vipi kunywa sumu ufe tu hakuna jinsi nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23]pole manyaunyauTuliza mshono basi hujapona vizuri ujue
Basi nchimbi ndio mchezaji bora maana mlionao no zaidi ya husudaNa achaguliwe tu, haina shida
Who cares?๐,
Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? ๐ฎ๐ฎ
Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Umekaa kiwangawanga subiri siku wakukamate makaburini uko uchi ukiwangausimfananishe TK MASTER na vitu vya kijinga tafadhali
Mbona hili kama povu vile, au wengine mnaona nini? ๐Na achaguliwe tu, haina shida. Who cares?๐, Angebeba Ballon D'or hapa JF tusingekaa mbona? Yaani kuchaguliwa kuwa mchezaji wa wiki kwa kale "kagoli ka kubahatisha" ndio kama ameyapatia maisha? ๐ฎ๐ฎ. Asivimbe kichwa kuona yeye ni hatari Africa nzima
Chukua ukafulie nguo๐๐๐Mbona hili kama povu vile, au wengine mnaona nini? ๐
Napigia deki chumba kilichozinduliwa kidimbwini ๐ ๐ ๐Chukua ukafulie nguo๐๐๐
Sawa ManyaunyauNapigia deki chumba kilichozinduliwa kidimbwini ๐ ๐ ๐
Duma Ditram Nchimbi anaingiaje hapa sasa๐๐๐ We jamaa umevuta cha chuga kidogo nini?Basi nchimbi ndio mchezaji bora maana mlionao no zaidi ya husuda
Umekaa kiwangawanga subiri siku wakukamate makaburini uko uchi ukiwanga
Akienda tutapata mabilioni, si vimilioni kama hao wa Utopolo! Tukipata mabilioni tutapata mchezaji mwingine mkali zaidi!!.Hawezi kubaki nasi kwa ubora wake.
Mh sidhani naona tunamhitaji zaidi miquisone wakati huu kuliko anavyotuhitaji japo tukimuuza tutapata super profit.Akienda tutapata mabilioni, si vimilioni kama hao wa Utopolo! Tukipata mabilioni tutapata mchezaji mwingine mkali zaidi!!.