Luis Suarez akataa kupeana mkono na Patrice Evra

Luis Suarez akataa kupeana mkono na Patrice Evra

Zlatanmasoud

Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
71
Reaction score
16
Huyu jamaa mjinga kweli. Evra kampa mkono ili yaishe lakini li suarez limekataa. Shame
 
Updates from Old trafford Man Utd 2 liverpool 0. Rooney kaweka kimiani yote. DAKIKA YA 47 NA 49
 
Mkono una umuhimu gani!? Mbona hata Lio naye kakataa kumpa mkono SUAREZ.!?
 
Ana kaubaguzi damuni mwake, sitomsahau toka S.Africa huyu jamaa
 
Ila ya south, ilinikela sana, na haya ya sasa ndio anazidi tuwaudhi wengi tu
 
nayule anithi wenu evra alivyomfwata kumchokoza s amkuona eeehh nyani kweli aoni kundule
 
Huyu jamaa ni muuaji ana sura flani ivi..ovyo sana suares. Evra kafanya vizuri kushangilia ushindi mbele ya suarez! Mparaguay muuaji
 
nayule anithi wenu evra alivyomfwata kumchokoza s amkuona eeehh nyani kweli aoni kundule

Acha jazba. Evra alikua anashangilia na mashabiki. Coincidentally suarez na yy alikua anapita. Najua umekasirika na kipigo
 
Huyu jamaa ni muuaji ana sura flani ivi..ovyo sana suares. Evra kafanya vizuri kushangilia ushindi mbele ya suarez! Mparaguay muuaji

Kweli, nchini Uholanzi anajulikana kama The Cannibal of ajax, alimtafuna mchezaji wa timu pinzani. Mshenzi sana. Kaikosesha Ghana na Africa nafasi hivihivi
 
Acha jazba. Evra alikua anashangilia na mashabiki. Coincidentally suarez na yy alikua anapita. Najua umekasirika na kipigo
hapana mpwa kipigo ni matokeo ila wotee nimeona ni watoto kweliii na huu ****** fa wanatakiwa kuwaacha waangalie inaisha wapi

1...ANGALIA WALIPOSHINDA SUAREZ AKAFINYA MPIRA KWAPANI AKASUKUMA JEZI YAKE MKONONI AKABUSU NGOZI YAKE NYEUPE MMWAAAAAAAAAAAAAAAAAA
2.DOGO ALIPOSHINDA AKAANZA KUSHANGILIA KAMA MTOTO HATA ALIPOONA KAMERA NDIO AKAWA KAMA ****** KABISA ANMKIMBILIA SUAREZ ALIPO SO UNAONA WAMEJAA ****** AN UPUMBAVU VICHWANI MWAO
 
kweli, nchini uholanzi anajulikana kama the cannibal of ajax, alimtafuna mchezaji wa timu pinzani. Mshenzi sana. Kaikosesha ghana na africa nafasi hivihivi
samehe na kusahau bana mbona ghana wameshawasamehe na zuri zaidi mtaa karibu na ikulu ya rais wameupa jina la suarez street
 
huyu jamaa Suarez ni mjinga sana, mbona kuna wachezaji wanajua zaidi yake lakini hawana huo ujinga!
 
samehe na kusahau bana mbona ghana wameshawasamehe na zuri zaidi mtaa karibu na ikulu ya rais wameupa jina la suarez street

we jamaa vipi! Nyie walokole huwa mnamatatizo sana! Sasa wewe si umemtukana jamaa ni ******* halafu hapa unatushauri nini!?
 
man wanaonekana dhahiri wabaguzi sasa rio kukuta kumpa suarez mkono ina mhusu nini au ameambiwa huyu ni terry? jitu zima hovyoooo teja
 
Kwani hujui man u weote makenge pamoja na fans zao awana tofauti
 
man wanaonekana dhahiri wabaguzi sasa rio kukuta kumpa suarez mkono ina mhusu nini au ameambiwa huyu ni terry? jitu zima hovyoooo teja

wewe haujui kwamba na rio nae ni mhanga wa ubaguzi, acha ujinga!
 
man wanaonekana dhahiri wabaguzi sasa rio kukuta kumpa suarez mkono ina mhusu nini au ameambiwa huyu ni terry? jitu zima hovyoooo teja

we una hasira za kufungwa 2.
 
Back
Top Bottom