Luis Suarez akataa kupeana mkono na Patrice Evra

Luis Suarez akataa kupeana mkono na Patrice Evra

kesi ya kupikwa kwani evra si mnegro mbona alikasirika.
 
Kweli, nchini Uholanzi anajulikana kama The Cannibal of ajax, alimtafuna mchezaji wa timu pinzani. Mshenzi sana. Kaikosesha Ghana na Africa nafasi hivihivi
...Naona watu tunapitiliza; tumlaumu kwa tukio la leo lakini kumhusisha na ghana kukosa nafasi ni uvivu tu wa kufukiri au kutaka Ghana ipate nafasi ya bure. Mchezaji akifanya foul ndani ya penalty box timu pinzani inapewa penalty na ndio ilivyotokea. huyo Asamoah mbona kakosa penalti tena juzi na kuikosesha ghana kucheza fainali sasa tutasema bado anamkumbuka Suarez. ghana walipoteza wenyewe nafasi kwa uzembe wa Asamoah Gyan; na kama vile kuthibitisha hilo kaharibu tena na mechi ya Zambia.
 
Utabaki hivyo hivyo kukamatia umekuwa mtu ovyo USO tulia .hivyo. Ndivyo upendavyo kiruka njia
 
Full Time Man UTd 2 Liverpool 1. Utd top of the table.

Long live African Football.
Kosa la Ghana pale Tshwane lilikuwa kudai penati badala ya goli, ingekuwa Al-Misria wangedai goli na si tuta, at least I can grant Suarez an excuse...
 
luis suarez ameomba msamaha na anajuta kwa kitendo cha kukataa kumpa mkono mchezaji wa man utd patric evra,kabla ya mchezo jana.kumbe mkurugenzi wa liverpool alikuwa ameshamwambia kuwa ni lazima ashikane mkono na evra,ila kutokana na jeuri yake,akagoma!huyu dogo bwana inaonekana ubaguzi upo kwenye damu,tusubiri kuona mengi,na ataigarimu sana timu kwa utovu wake wa nidhamu,kwani hata wakati wanamnunua toka ajaxamsterdam viongozi waliwapa angalizo juu ya nidhamu yake.
 
hana lolote huyo! Nchi anayotoka yenyew ni maskini ka sisi afu anajidai jeuri,asingeomba radhi angekiona cha mtemakuni!
 
Back
Top Bottom