ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
ronaldo alistahili tuzo ya mchezaji bora ulaya ila kwa dunia pengine wako sahihi kumpa modric kwakuwa alifanya vzuri ngazi ya club ulaya na pia akaliongoza taifa lake kufika fainali WCNarudia tena,mchezaji bora ni Christiano Ronaldo.Tunapenda mabadiliko ila mabadiliko hayatupendi.
Yaani sijui na huko kuna siasa?ronaldo alistahili tuzo ya mchezaji bora ulaya ila kwa dunia pengine wako sahihi kumpa modric kwakuwa alifanya vzuri ngazi ya club ulaya na pia akaliongoza taifa lake kufika fainali WC
Hakuna Mchezaji mwenye Jina Hili Duniani!Christiano Ronaldo
Teh teh team Messi!Hakuna Mchezaji mwenye Jina Hili Duniani!
Rudia kusoma hilo JinaTeh teh team Messi!
Mimi ni mfuasi Wa CR7 , na nilipenda sana ashinde tuzo hii.ili awe Wa kwanza kunyakuwa Mara 6.
Lkn Mara zote nilikuwa sifurahishwi, kuufanya mpira Wa miguu ili uwe bora ni lazima ufunge.
Tabia hii, imekuja mpaka bongo, eti mchezaji bora Wa mwezi ni yule aliyesaidia timu YAKE kwa kufunga magoli.
.Modric alistahili.
Messi anahusika vipi hapa?? Ikiwa hata tatu bora hakuwemo???FIFA ni team Messi
Ili asimpite kwa wingi wa balo'n diorMessi anahusika vipi hapa?? Ikiwa hata tatu bora hakuwemo???