ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Dakika ya 70 timu yake ikiwa nyuma kwa goli 3-0 dhidi ya Sevilla Tumeshuhudia Luka akitolewa sub akiwa hajaumia Bali kiwango chake tu kwa leo.
Tangu atangazwe na Fifa kuwa yeye ndiye bora hata wiki bora
Fifa wajaribu kuwa fair kama mchezaji anafikia kiwango basi apewe tu hata kama ameshinda miaka 11 mfululizo.