Luka Modric Alistahili Kupata Tuzo Hii Kweli ?

Kwa msimu huu ulomalizika Modric ameonesha mpira wa kiwango cha juu zaidi pia hta world cup tumemuona akiisaidia team ya kwa kiasi kikubwa katika world cup,ronaldo alijitahidi sana na yeye katika club pia na Mo Salah ila walishindwa kuipa mafanikio taifa lao.
 
so unamaanisha mabeki na makipa hawatakiwi kuchukua hizi tuzo maana wao hawawez kucompete kufunga, kumbuka ile ni tuzo ya mchezaji bora na si tuzo ya mfungaji bora hvyo anaweza pata mtu kutoka position yoyote ile hata kipa
Ahsante, ulichokiandika ndicho nilichomaanisha. Japo umesoma kwa haraka na kudhani Niko tofauti na ww.

Tupo pamoja.
 
mara 6 kivip hata angebeba ronaldo isingekua mara 6


ile sio balon dior
 
Ni ya nini mkuu
ile ni tuzo ya fifa hua inafanyika kila mwaka mwez kama huu



balon dior hufanyika mara nyingi mwez january


balon dior haipo chini ya fifa



wachezaj wengi wanafurahia tuzo ya balon dior kuliko ya fifa kwa sababu balon dior ina heshima zaid

messi na ronaldo wana tuzo sawa za balon dior ila ronaldo kamzid messi tuzo ya fifa
 
katika kitu ambacho sijawahi kukielewa ni Iniesta au angalau Xavi kukosa uanasoka bora wa dunia kwa Mwaka 2010, mafanikio yote aliyopata Messi alipata pamoja nao na wao wakaongeza kombe la dunia ambalo Messi hakuwa nalo lakini akapewa tuzo Messi.
 
Katika jambo ambalo FIFA wameboronga basi ni hili , jakuna sababu yoyote ile , ya maana au ya kijinga kwa Modric kuwa mchezaji bora wa dunia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…