Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Kwa msimu huu ulomalizika Modric ameonesha mpira wa kiwango cha juu zaidi pia hta world cup tumemuona akiisaidia team ya kwa kiasi kikubwa katika world cup,ronaldo alijitahidi sana na yeye katika club pia na Mo Salah ila walishindwa kuipa mafanikio taifa lao.