Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Mkuu uliongea ukweli akirudi mwambie huyu ndiyo morata
 
Atleast umeongea points.....!!! Umefanya analysis nzuri sana.
 
Mkuu uliongea ukweli akirudi mwambie huyu ndiyo morata
nimerudi mkuu na post yangu imetokea exactly kama nilivyosema, ngoja ni summarise
-nilisema man utd wanahitaji zaidi mfungaji na sio mchezeaji mpira
-man utd wana watengeneza nafasi wazuri zaidi hivyo lukaku anafaa zaidi kuliko moratta

haya tuangalie stats
-lukaku ana goli 10 mechi 9 average 1.1 goal per match
-Morata ana goli 7 mechi 7 average goli 1

hivyo lukaku amethibitisha zaidi ni mfungaji mzuri zaidi ya morata mpaka sasa hivi.

na mkhitariyan kawaacha mbali kwenye chart ya assist ana pasi tano za magoli hadi sasa, kuprove point ya tunao watengenezaji, hapo bado pogba, martial etc

ukija overall play mtandao maarufu wa whoscored umemrate lukaku msimu huu na point 8.17 compare na 7.49 za morata.

https://www.whoscored.com/Players/78498/Show/Romelu-Lukaku
https://www.whoscored.com/Players/91213/Show/Álvaro-Morata
 
Kwa ni Wenger hakumpanga Lacazette from the start? Was it a tactical decision kumweka bench your most expensive player and leading goal scorer?

Lakaku alikuwa kimya sana jana. Only one touch in the penalty box. Does this reinforce the argument that Lakaku haperform kwenye mechi kubwa? Au alikuwa hapati service? Au Chelsea defence was better?

As for Morata, he scored and also missed another. He played better and appeared to be stronger kulinganisha na mechi za nyuma.

Bado ni mapema kujua nani zaidi, japokuwa naona kama Wenger hamtumii Lacazette ipasavyo. Mfano, alivyoingia Giroud ilibidi Lacazette acheze pembeni.
 
Mkuu uwezi kumlinganisha morata lukaku ata siku moja huyu lukaku ameisaidia nn everton paka kaondoka tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…