nimerudi mkuu na post yangu imetokea exactly kama nilivyosema, ngoja ni summarise
-nilisema man utd wanahitaji zaidi mfungaji na sio mchezeaji mpira
-man utd wana watengeneza nafasi wazuri zaidi hivyo lukaku anafaa zaidi kuliko moratta
haya tuangalie stats
-lukaku ana goli 10 mechi 9 average 1.1 goal per match
-Morata ana goli 7 mechi 7 average goli 1
hivyo lukaku amethibitisha zaidi ni mfungaji mzuri zaidi ya morata mpaka sasa hivi.
na mkhitariyan kawaacha mbali kwenye chart ya assist ana pasi tano za magoli hadi sasa, kuprove point ya tunao watengenezaji, hapo bado pogba, martial etc
ukija overall play mtandao maarufu wa whoscored umemrate lukaku msimu huu na point
8.17 compare na
7.49 za morata.
https://www.whoscored.com/Players/78498/Show/Romelu-Lukaku
https://www.whoscored.com/Players/91213/Show/Álvaro-Morata