Lukaku, Morata na Lacazette: Nani mkali zaidi?

Kwamba kombe utaliona pale OT? so far mpk saiv morata ana hattrick yake safi kabisa
 
nafikiri bado mpambano uko kwa zette na morata huyo mwalukaku inaonekana keshasalim amri
 
nifukue kaburi tu.

lukaku katupia goli la 20 na 21 leo, ndio kwanza tupo February. mchanganuo kama ifuatavyo

lukaku goli 21
morata goli 12
lacazette goli 10
 
nifukue kaburi tu.

lukaku katupia goli la 20 na 21 leo, ndio kwanza tupo February. mchanganuo kama ifuatavyo

lukaku goli 21
morata goli 12
lacazette goli 10

nadhani ungeweka na idadi ya mechi walizocheza ingependeza zaidi
 

Wote hao ni washambuliaji wa kawaida sana ambao hawawezi kupata namba Nou Camp wala Santiago Bernabeu
 
msimu umeisha mfuateni mumuulize tena hili swali sidhani kama atakuja na majibu haya
 
aliyefunga magoli mengi kuliko mwingine ndio straika bora kuliko wote sababu kazi zao ni kufunga.
 
Laccazette anajua zaidi, hao Wengine misukule tu
 
Ameshajulikana mkali eee, maana huyo luka luka simuoni hata kwenye ubao wa magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…