Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kombe utaliona pale OT? so far mpk saiv morata ana hattrick yake safi kabisamsichokijua wengi humu ni kwamba pale man utd kuna wachezaji wengi wa aina na uwezo wa morata mmoja wapo ni rashford, nazani mnapaswa kumlinganisha morata na rashford ila sio lukaku sababu ni wachezaji wa aina tofauti kabisa, hivyo man utd walikua wanamuhitaji mtu wa aina ya lukaku zaid ya aina ya morata, morata is more creative ana dribble nzur na anaweza cheza nafasi yeyote pale mbele, lukaku is completed number 9 coz anaweza kuscore, ni mzuri kwa mipira ya vichwa na ni hatari zaid akiuweka mpira ktk guu lake la kushoto pia ana nguvu na uwezo wa kulinda mpira hata akizungukwa na mabeki wawili,
sawa ni bado mapema sana kubashiri ila mi naamini hata conte mwenyewe hajalizika sana na usajili wa morata sababu anajua wazi kua morata hataweza kufikisha hata magori aliokua anayafikisha diego cost kwa kila msimu coz yeye alkua anahitaji mchezaji namba 9 kamili na anayefikilia kufunga tu na sio mchezaji machachari na anaefikilia kupiga chenga na kuliacha gori. kutokana n mahitaj ya timu zote mbili naamin lukaku ndio mtu sahii sababu hizi timu zote mbili zilkua znamuhitaji mchezaj mwenye uwezo mkubwa wa kufunga magori na sio mchezaji mwenye vyenga vingi sababu tayari wanao watu hao mf hazad, wilihan, fabi n pedro pale chelse, pogba,mikh, mata, rashford na martia pale man utd hivyo mi naamin man utd wamelamba dume zaid y chelse na naamin mou atataka kumtumia lukaku km alvyokua akimtumia drogba, na conte yeye itabidi aanze kutengeneza mifumo upya ambayo itaendana na morata na atafanikiwa hilo hakika chelse watakua timu tishio sana tena hasa ktk uefa mimi nawaona tayari ktk fainal, ila ktk EPL sizan km watafany vzr sana sababu wana kikosi kidogo na timu nyingi za epl zitawakamia ila naamin watakuepo ndan y top 4, nahis man utd watafany vzr zaid ktk Epl na naliona kombe l epl tayar pale ot ila hawatafika mbali sana ktk uefa, mwisho; Arsenal ndio itakua surprise package yang msimu huu naamin kibabu kitafanya kitu kikubwa sana n kizur msimu huu ambacho watu hatutakiamin.
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora morata ila lacazette hamna kitunifukue kaburi tu.
lukaku katupia goli la 20 na 21 leo, ndio kwanza tupo February. mchanganuo kama ifuatavyo
lukaku goli 21
morata goli 12
lacazette goli 10
nifukue kaburi tu.
lukaku katupia goli la 20 na 21 leo, ndio kwanza tupo February. mchanganuo kama ifuatavyo
lukaku goli 21
morata goli 12
lacazette goli 10
![]()
Ilikuwa kama vile Morata asajiliwe na Man Utd na Lakaku asajiliwe na Chelsea. Lakini imekuwa kinyume chake. Man Utd wamemsajili Lakaku na Chelsea wanamsajili Morata.
Wapo wanaodai kuwa Lakaku ni striker mzuri zaidi kuliko Morata. Pia wapo wanaodai Morata ni mkali zaidi kuliko Lakaku.
Arsenal nao wamevunja rekodi yao kwa kumsajili Lacazette. Wako wanaodai kuwa Lacazette ni mkali zaidi ya Lakaku, au zaidi ya Morata au zaidi ya wote wawili.
Lakini nani alifunga magoli mengi zaidi msimu uliopita? Nani alifanya kazi kubwa kwa ajili ya timu yake. Nani atafanikiwa zaidi kwenye timu zao mpya? Kwa kifupi klabu ipi imepata dili nzuri?
Bado ni mapema sana kujua nani mkali zaidi, lakini siyo vibaya kutoa maoni yako juu ya nani aliye mkali zaidi japokuwa muundo wa timu nzima nao unachangia kwa striker kucheza vizuri zaidi na kufunga magoli ya kutosha.
[emoji106] [emoji106] [emoji106]nadhani ungeweka na idadi ya mechi walizocheza ingependeza zaidi
msimu umeisha mfuateni mumuulize tena hili swali sidhani kama atakuja na majibu hayaAnalysis
European football journalist Mina Rzouki on BBC Radio 5 live
If you offered me the choice between Morata and Lukaku, I wouldn't even think about it.
I would pay £20m or £30m more if I had to and I would bring in Morata.
That is because I would always prefer an intelligent player in my team. Even if he doesn't score as many goals, even if he doesn't do whatever he needs to.
If he is more intelligent then he can be moulded quicker, he can do what he needs to do. And Morata has Champions League experience. He was second top scorer for Real Madrid despite not starting.
He has done it at Juventus and he has done it at Real Madrid.
He understands, he has the pace, he is intelligent, he links up play, he can be a counter-attacking threat.
wote hao ni hewa kabisa mkuu
Laccazette anajua zaidi, hao Wengine misukule tu![]()