kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Duuu we ndugu yani natamani kumkosoa Lukaku kwa namba nilivyomuona, ila baada ya kuandika hayo maneno yako kila nikitaka kukujibu nakwama.Kweli Lukaku ni average lakini aliweza kufunga, hao Madrid na washambuliaji wao wote. Magoli yao yamefungwa na viungo, sasa sijui Lukaku na washambuliaji wa Madrid ni nani ni average?
Sent using Jamii Forums mobile app