Lukaku na Pogba ni watumishi hewa wa Man Utd

Lukaku na Pogba ni watumishi hewa wa Man Utd

Kweli Lukaku ni average lakini aliweza kufunga, hao Madrid na washambuliaji wao wote. Magoli yao yamefungwa na viungo, sasa sijui Lukaku na washambuliaji wa Madrid ni nani ni average?
Duuu we ndugu yani natamani kumkosoa Lukaku kwa namba nilivyomuona, ila baada ya kuandika hayo maneno yako kila nikitaka kukujibu nakwama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Madrid wapo vizur hata wacheze na timu gani lazima wafanye vizuri tu United ni mapema sana kushindana na team kama Barcelona, bayern, Juventus na Madrid labda timu izoeane kwanza, kumbuka madrid team ipo pamoja tamu misimu miwili nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wasitupe hasira jamani , ila pogba hasitake kuonekana star na mchezaji mkubwa kwa gharama yake kwa lazima ndio maana unakuta anatumia muda mwingi manjonjo na mambo yasiyo ya msingi
Ila ndio hvyo sisi madrid tunawashukuru kwa ushindani kidgo[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hawa jamaa hela walizonunuliwa na wanachokicheza uwanjani ni vitu viwili tofauti. Rejea mechi ya Super cup.

Hasa huyu Pogba anaigharimu sana timu kwenye mechi kubwa. Mou asipoangalia tabia yake ya kuendelea kumkumbatia Pogba itagharimu kibarua chake Man Utd.

Lukaku is an average player for average team. Man Utd walihitaji straika wa kariba ya Lewandowski kinyume na hapo Lukaku awasubiri kuwafunga Burnley au West Brom.

Ni mtizamo tu.
Naunga mkono hoja
 
Lukaku ni mpumbavu sana.hata ile siku man utd anacheza na man city pogba alikuwa anachezea man city na aliwapa assist goli la pili
 
Lukaku ni mpumbavu sana.hata ile siku man utd anacheza na man city pogba alikuwa anachezea man city na aliwapa assist goli la pili
Sorry Lukaku not pogba.but they are comparable the same
 
Back
Top Bottom