Lukashenko: Wagner wananisumbua wanataka waingie Poland kusalimia

Poland atapigwa na NATO hawatamsaidia kwa maana hawajitambui mara wanashawishi NATO watumie nyukilia wakati wenzao wanafanya Kila jitihada kuepuka vita vya nyukilia.
Ndo ukweli Nato hajajienda kuingia kwenye vita nzito kwasasa itamchanganya sana.
Walisikia majamaa,yakiwa kule MPITIMBI songea,baada ya kushiba mihogo na kachumbari.
 
Poland atapigwa na NATO hawatamsaidia kwa maana hawajitambui mara wanashawishi NATO watumie nyukilia wakati wenzao wanafanya Kila jitihada kuepuka vita vya nyukilia.
Chukua Wagner na Belarus kwa ujumla, hawa Poland atapiga kama ngoma. Vita vimekuwa vigumu kwa Urusi, na ameona Ukraine anapata support kubwa kutoka Poland. Hivyo ili kumpunguza moto Poland, basi ni kujifanya Wagner wanataka kuingia Poland.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe na yule General wa Ukraine nani mkweli, yule anasema wazi kabisa kuwa Ukraine hawezi vita na Mrusi na wewe unaleta utumbo hapa.

Poland atachakazwa vibaya sana na NATO watasema yeye mwenyewe kajitafutia vita hawawezi msaidia kabisa.

Kwa tarifa yako nusu ya Jeshi la Poland wako Ukraine hao waliobaki Poland ni takataka na Putin anajua hayo.
 
Ukizoea kugonga gonga kichwa chini sakafuni lazima ikuathiri huwezi kuwa na akili timamu.

Sasa Russia gani ya kuweza kupigana na Poland wakati Ukraine tu wameshindwa kumaliza vita miaka karibu miwili sasa.
 
Hivi we huoni hata aibu zaidi ya nchi 50 zinamsaidia Ukraine kwa silaha na wanajeshi wanamshindwa Mrusi peke yake.

Mrusi angekuwa kama Tanzania Nato wangeisha jitokeza kimbelembele lakini kwa Mrusi wako kinyuma wanamuogopa Mrusi
 
Hivi wewe na yule General wa Ukraine nani mkweli, yule anasema wazi kabisa kuwa Ukraine hawezi vita na Mrusi na wewe unaleta utumbo hapa.

Poland atachakazwa vibaya sana na NATO watasema yeye mwenyewe kajitafutia vita hawawezi msaidia kabisa.

Kwa tarifa yako nusu ya Jeshi la Poland wako Ukraine hao waliobaki Poland ni takataka na Putin anajua hayo.
Hii vita itatuonesha vita wote
 
Back
Top Bottom