.Ila pro Russia mna mioyo ya chuma!!daaa,Hiyo ukraine imemshinda ataiweza NATO?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Ila pro Russia mna mioyo ya chuma!!daaa,Hiyo ukraine imemshinda ataiweza NATO?!!
[emoji28]Hii vita itatuonesha vita wote mlipojificha
Kwan Ukraine nimember wa NATO, kule wanatoa msaada wavifaa naukumbuke putin alipiga mkwara yoyote anatakae ingilia vita atakiona chamtema kuni ila hajafanya chochoteNini maana ya Nato? Si wametandikwa pale Ukraine na Muda huu wamestisha counter offensive yao ya mchongo.
Huna akili sasa majivu kwanin yasianze huko Ukraine miak mitatu sasaWW-III imeanza. Vinchi vingi vya ulaya vitageuzwa majivu
Urusi alitangaza yeyote atakae msaidia Ukraine atakiona mbona misaada inapelekwa tena bila kificho nahajavamia nchi yoyote, nato hawapigani kule ila wanatoa msaadaHivi we huoni hata aibu zaidi ya nchi 50 zinamsaidia Ukraine kwa silaha na wanajeshi wanamshindwa Mrusi peke yake.
Mrusi angekuwa kama Tanzania Nato wangeisha jitokeza kimbelembele lakini kwa Mrusi wako kinyuma wanamuogopa Mrusi
Kwani alisema atazivamia nchi zinazomsaidia au alisema atazipiga silaha zao? Wambie basi waingie direct vita na Mrusi kama wao wanaume wanajificha kwa kutumia nguo za UkraineUrusi alitangaza yeyote atakae msaidia Ukraine atakiona mbona misaada inapelekwa tena bila kificho nahajavamia nchi yoyote, nato hawapigani kule ila wanatoa msaada
haaa sawaKaribu MPITIMBI tule Mangatungu
Unasema hivyo huku ukiwa hapo Namtumbo unakula Ming'oko ya kuchemsha unasukumia na kahawaChukua Wagner na Belarus kwa ujumla, hawa Poland atapiga kama ngoma. Vita vimekuwa vigumu kwa Urusi, na ameona Ukraine anapata support kubwa kutoka Poland. Hivyo ili kumpunguza moto Poland, basi ni kujifanya Wagner wanataka kuingia Poland.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Yan vita wapigane ndugu halafu mtu from no where uende kupigana wanachofanya nato nikutoa msaada wakibinadam kwakua kuna lijamaa likubwa linataka kupora haki zakijana mdogoKwani alisema atazivamia nchi zinazomsaidia au alisema atazipiga silaha zao? Wambie basi waingie direct vita na Mrusi kama wao wanaume wanajificha kwa kutumia nguo za Ukraine
Unasema hivyo huku unasukumia Mabumunda na Samaki wakavuUkizoea kugonga gonga kichwa chini sakafuni lazima ikuathiri huwezi kuwa na akili timamu.
Sasa Russia gani ya kuweza kupigana na Poland wakati Ukraine tu wameshindwa kumaliza vita miaka karibu miwili sasa.
Kwani huko Ukraine hao NATO hawapo? hivi hujui kua NATO ipo nyuma ya Ukraine?Ila pro Russia mna mioyo ya chuma!!daaa,Hiyo ukraine imemshinda ataiweza NATO?!!
Atajulia wapi?Kwani huko Ukraine hao NATO hawapo? hivi hujui kua NATO ipo nyuma ya Ukraine?
nchi zote zinaepuka kutumia nyuklia ila Poland ana kiherehere ameshatoa wazo NATO watumie nyuklia lakini hawakumjibu chochote walimwona mjinga.Nan anaepuka kutumia nyuklia?
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa hajui kama vifaa ambavyo US aliviamini na nguvu kazi vimechakazwa vibaya mnoHivi wewe na yule General wa Ukraine nani mkweli, yule anasema wazi kabisa kuwa Ukraine hawezi vita na Mrusi na wewe unaleta utumbo hapa.
Poland atachakazwa vibaya sana na NATO watasema yeye mwenyewe kajitafutia vita hawawezi msaidia kabisa.
Kwa tarifa yako nusu ya Jeshi la Poland wako Ukraine hao waliobaki Poland ni takataka na Putin anajua hayo.
Dah, Huyu mwamba ni mtu wa mishe mishe sana inaonekana." Wagner wana hamu ya kwenda Warsaw kutembea na wamekuwa wakinisumbua kwelikweli!"
Lukashenko akizungumza na Putin.
Hii taarifa za kingese uwe unabakia nazo mwenyewe.Urusi hajaona , ila uko huko madongo kuinama umeona nusu ya jeshi la Poland ipo Ukraine.Hivi wewe na yule General wa Ukraine nani mkweli, yule anasema wazi kabisa kuwa Ukraine hawezi vita na Mrusi na wewe unaleta utumbo hapa.
Poland atachakazwa vibaya sana na NATO watasema yeye mwenyewe kajitafutia vita hawawezi msaidia kabisa.
Kwa tarifa yako nusu ya Jeshi la Poland wako Ukraine hao waliobaki Poland ni takataka na Putin anajua hayo.
Hawa Poland sijui wana nini na Russia, ni kama wana mzuka dhidi ya Russia. UK alipotangaza kutumia Nuclear endapo Russia akatumia dhidi ya Ukraine, walisema kuwa Nuke zao wataziweka Poland, Poland hakuonesha wala kuongea lolote kuonesha pengine hayupo tayari ila alitulia kimya tu.Chukua Wagner na Belarus kwa ujumla, hawa Poland atapiga kama ngoma. Vita vimekuwa vigumu kwa Urusi, na ameona Ukraine anapata support kubwa kutoka Poland. Hivyo ili kumpunguza moto Poland, basi ni kujifanya Wagner wanataka kuingia Poland.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Pamoja na sababu nyingine, Urusi imekuwa ikiitumia Belarus kuleta fujo Poland na Ulaya kwa ujumla. Kuna wakati waliita wahamiaji haramu wakawa wanapita Belarus kwenda Poland hivyo kuingia nchi za Ulaya. Poland ilibidi irudishe baadhi na kujenga ukuta kabisa. Rais wa Belarus ni kibaraka wa Urusi aliyebobea.Hawa Poland sijui wana nini na Russia, ni kama wana mzuka dhidi ya Russia. UK alipotangaza kutumia Nuclear endapo Russia akatumia dhidi ya Ukraine, walisema kuwa Nuke zao wataziweka Poland, Poland hakuonesha wala kuongea lolote kuonesha pengine hayupo tayari ila alitulia kimya tu.
Poland hata haiitaji NATO kuitwanga Belarus, kama Ukraine tu imeisumbua Urusi miaka 2 kwa silaha za msaada, Poland kuitandika Belarus ambayo ni koloni la Urusi itakuwa jambo jepesi sana.Poland atapigwa na NATO hawatamsaidia kwa maana hawajitambui mara wanashawishi NATO watumie nyukilia wakati wenzao wanafanya Kila jitihada kuepuka vita vya nyukilia.
mshauri ajaribu, vita SI kama tunavyoongea.Poland hata haiitaji NATO kuitwanga Belarus, kama Ukraine tu imeisumbua Urusi miaka 2 kwa silaha za msaada, Poland kuitandika Belarus ambayo ni koloni la Urusi itakuwa jambo jepesi sana.