Lukashenko: Wagner wananisumbua wanataka waingie Poland kusalimia

Lukashenko: Wagner wananisumbua wanataka waingie Poland kusalimia

" Wagner wana hamu ya kwenda Warsaw kutembea na wamekuwa wakinisumbua kwelikweli!"

Lukashenko akizungumza na Putin.
Waanze Hungary kwa Mzee Victor Orban, halafu halafu wataelekea, Poland,Romania,Lithuania na kwingineko🏃🏃🏃
 
Hivi we huoni hata aibu zaidi ya nchi 50 zinamsaidia Ukraine kwa silaha na wanajeshi wanamshindwa Mrusi peke yake.

Mrusi angekuwa kama Tanzania Nato wangeisha jitokeza kimbelembele lakini kwa Mrusi wako kinyuma wanamuogopa Mrusi
Sasa huyo mrusi mbona wasishinde vita pamoja na kwamba naye kuna mataifa yanamsaidia.
 
Kwani alisema atazivamia nchi zinazomsaidia au alisema atazipiga silaha zao? Wambie basi waingie direct vita na Mrusi kama wao wanaume wanajificha kwa kutumia nguo za Ukraine
Warusi si mchezo vifaru vya Ujerumani 23 aina ya Leopard na 21 aina ya challenger juzi vilitiwa kiberiti na Drones za Urusi aina ya Lacent, vililipuliwa nakuunguzwa kama karatasi tu.

Amerika walikuwa wajanja hawa kupele kifaru hata kimoja huko Ukraine maanake walijua kikitiwa kiberiti hata kimoja na silaha za Urusi - Amerika watakosa soko la vifaru vyao.
 
Poland wamekuwa wakiajiandaa na vitisho vya Urusi muda mrefu na wala hawana wasiwasi naye. Pamoja na silaha nyingine, mwaka jana waliweka order ya HIMARS 500, nadhani wana jambo lao.
Fuatilia reaction ya Poland makombora ya AD ya Ukraine yalivodondoka kwenye kijiji kimoja Poland ndo utajua kama kweli Poland hawaiogopi Urusi au lah.. Usizugwe na propaganda, hamna nchi yoyote duniani inayotamani kujikuta kwenye mahusiano na Urusi ambayo option pekee iliyobaki ni vita.
 
Back
Top Bottom