Lukashenko: Wagner wananisumbua wanataka waingie Poland kusalimia

Nini maana ya Nato? Si wametandikwa pale Ukraine na Muda huu wamestisha counter offensive yao ya mchongo.
Kwan Ukraine nimember wa NATO, kule wanatoa msaada wavifaa naukumbuke putin alipiga mkwara yoyote anatakae ingilia vita atakiona chamtema kuni ila hajafanya chochote
 
Hivi we huoni hata aibu zaidi ya nchi 50 zinamsaidia Ukraine kwa silaha na wanajeshi wanamshindwa Mrusi peke yake.

Mrusi angekuwa kama Tanzania Nato wangeisha jitokeza kimbelembele lakini kwa Mrusi wako kinyuma wanamuogopa Mrusi
Urusi alitangaza yeyote atakae msaidia Ukraine atakiona mbona misaada inapelekwa tena bila kificho nahajavamia nchi yoyote, nato hawapigani kule ila wanatoa msaada
 
Urusi alitangaza yeyote atakae msaidia Ukraine atakiona mbona misaada inapelekwa tena bila kificho nahajavamia nchi yoyote, nato hawapigani kule ila wanatoa msaada
Kwani alisema atazivamia nchi zinazomsaidia au alisema atazipiga silaha zao? Wambie basi waingie direct vita na Mrusi kama wao wanaume wanajificha kwa kutumia nguo za Ukraine
 
Unasema hivyo huku ukiwa hapo Namtumbo unakula Ming'oko ya kuchemsha unasukumia na kahawa
 
Kwani alisema atazivamia nchi zinazomsaidia au alisema atazipiga silaha zao? Wambie basi waingie direct vita na Mrusi kama wao wanaume wanajificha kwa kutumia nguo za Ukraine
Yan vita wapigane ndugu halafu mtu from no where uende kupigana wanachofanya nato nikutoa msaada wakibinadam kwakua kuna lijamaa likubwa linataka kupora haki zakijana mdogo
 
Ukizoea kugonga gonga kichwa chini sakafuni lazima ikuathiri huwezi kuwa na akili timamu.

Sasa Russia gani ya kuweza kupigana na Poland wakati Ukraine tu wameshindwa kumaliza vita miaka karibu miwili sasa.
Unasema hivyo huku unasukumia Mabumunda na Samaki wakavu

......
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa hajui kama vifaa ambavyo US aliviamini na nguvu kazi vimechakazwa vibaya mno
 
" Wagner wana hamu ya kwenda Warsaw kutembea na wamekuwa wakinisumbua kwelikweli!"

Lukashenko akizungumza na Putin.
Dah, Huyu mwamba ni mtu wa mishe mishe sana inaonekana.

Wasipopewa kibali, wanaweza wakaanza mishe zao hapo hapo Belarus kumuondoa Lukashenko na kuweka kibaraka wake.
 
Hii taarifa za kingese uwe unabakia nazo mwenyewe.Urusi hajaona , ila uko huko madongo kuinama umeona nusu ya jeshi la Poland ipo Ukraine.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Poland sijui wana nini na Russia, ni kama wana mzuka dhidi ya Russia. UK alipotangaza kutumia Nuclear endapo Russia akatumia dhidi ya Ukraine, walisema kuwa Nuke zao wataziweka Poland, Poland hakuonesha wala kuongea lolote kuonesha pengine hayupo tayari ila alitulia kimya tu.
 
Pamoja na sababu nyingine, Urusi imekuwa ikiitumia Belarus kuleta fujo Poland na Ulaya kwa ujumla. Kuna wakati waliita wahamiaji haramu wakawa wanapita Belarus kwenda Poland hivyo kuingia nchi za Ulaya. Poland ilibidi irudishe baadhi na kujenga ukuta kabisa. Rais wa Belarus ni kibaraka wa Urusi aliyebobea.
Poland wamekuwa wakiajiandaa na vitisho vya Urusi muda mrefu na wala hawana wasiwasi naye. Pamoja na silaha nyingine, mwaka jana waliweka order ya HIMARS 500, nadhani wana jambo lao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Poland atapigwa na NATO hawatamsaidia kwa maana hawajitambui mara wanashawishi NATO watumie nyukilia wakati wenzao wanafanya Kila jitihada kuepuka vita vya nyukilia.
Poland hata haiitaji NATO kuitwanga Belarus, kama Ukraine tu imeisumbua Urusi miaka 2 kwa silaha za msaada, Poland kuitandika Belarus ambayo ni koloni la Urusi itakuwa jambo jepesi sana.
 
Poland hata haiitaji NATO kuitwanga Belarus, kama Ukraine tu imeisumbua Urusi miaka 2 kwa silaha za msaada, Poland kuitandika Belarus ambayo ni koloni la Urusi itakuwa jambo jepesi sana.
mshauri ajaribu, vita SI kama tunavyoongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…