Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naomba nikikumbukushe Mhe. Waziri Mama Samia alituhidi Mita za Maji na akasema hataki tena kusikia mambo ya kubambikiziana bili ya yule peleka huku ya huyu weka kule zife
Kiukweli inasikitisha inatia aibu hasa Dar es Salaam ongezeko la mabili linaendelea kama kawaida ..unit wanazokupa hazifanani na ulizotumia ukiuliza anakujibu ame estimate.
Sasa kwani akadirie wakati kila wanakuja kila mwezi kusoma meter za maji majumbani kusoma units ama mnakujaga kupiga picha nazo?
Ndugu zanguu kila bill unayopokea nenda kaangalie inasoma sawa na ya mita yakoo?
Wamepigwa wengi sanaa wapo watu Dar wameamua wanashirikiana na majirani wanalipa kwa pamoja kuogopa hizi janja janja.
Tunaomba Dar iwe kipaumbele kutufungia LUKU za majii hizi za sasa tumezichoka za kuestimate.
WEEKEND NJEMA
JUMUIYA NJEMA