Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

msimamia kucha

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
683
Reaction score
551
Wakuu habari za Jpili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

Mzee lukuvi alikuwa na maana gani kusema maneno yale huko Chamani Mambuzii?
 
Hawa wazee wangepumzika sasa, naona kizazi chao kinapitwa na wakati, vijana walioonekana kupata kura nyingi waachwe wafanye kazi.
Ukisikia mtu anaongea habari za namna hii, huyo kichwani ni mufilisi..kitu muhim ni performance...UWEZO! bila kujali umri..Lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi uwezo wake utalinganisha na takataka za kina mwigulu?
 
Ukisikia mtu anaongea habari za namna hii, huyo kichwani ni mufilisi..kitu muhim ni performance...UWEZO! bila kujali umri..Lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi uwezo wake utalinganisha na takataka za kina mwigulu?
Lukuvi ni waziri pekee aliyeitendea haki nchi hii kupitia ardhi kima yeyote anayembeza ni mbuzi tu
 
Yupo capable kiuongozi, genge likimkataa, wananchi wanamkubali ndani na nje ya chama chake
Nchi hii bila JK kuitwa na mola tutateseka sana.
Kuanzia sasa na kuendelea hatuwezi kupata rais bora hadi JK aondoke...mzee wa hila ataendelea kutuletea mtu dhaifu ili aendelee kutawala kwa mlango wa uani
 
Muda mwingine hata hamtumii akili.... Hivi Kuna nani anaweza akamzuia Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya muungano Kwa katiba hii tuliokuwa nayo. Hayati Magufuli alitumia asilimia 25 tu ya maguvu ya katiba tuliokuwa nayo akaweza kutuokotea Bashiru kuwa katibu wa chama kutoka vichochoroni unadhania angefikia asilimia 50 ingekuwaje?
Unaongea ukiwa umekalia nini kwanza? Nani kasema raisi hana uwezo wa kutumia mamlaka yake? To be a next president haimaanishi 2025 inweza kuwa hata kesho au baada ya hapo
 
Mpaka leo sijajua kwanini Lukuvi aliondolewa kwenye Uwaziri wa Ardhi. Alibadilisha utendaji wa hii Wizara kwa sehemu kubwa sana. Tangu ameondoka mambo yamedoda. Rushwa na urasimu vimerudi kama zamani. Nilikuwa karibia niipate Hati yangu ya nyumba niliyoisotea kwa muda mrefu. Alivyoondolewa tu, Sasa hivi 'I'm back to square one'. Halafu kuna watu wanadai anaupiga mwingi! Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom