Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

Lukuvi: Nimepata kura za heshima na ujasiri

Nchi hii bila JK kuitwa na mola tutateseka sana.
Kuanzia sasa na kuendelea hatuwezi kupata rais bora hadi JK aondoke...mzee wa hila ataendelea kutuletea mtu dhaifu ili aendelee kutawala kwa mlango wa uani
Kwa mfumo huo,labda kijani ifee kabisa,ila kama kijani itakuwepo
Huo mfumo wa kuwarithisha watoto
Ndugu zao utaendelea tu

Ova
 
Kwa mfumo huo,labda kijani ifee kabisa,ila kama kijani itakuwepo
Huo mfumo wa kuwarithisha watoto
Ndugu zao utaendelea tu

Ova
Nchi hii itakuwa salama JK alipokuwepo vinginevyo fitina zitaendelea huyo mzee ni sumu sana.
Ona ameirudisha awamu yake karibu yote
 
Kinachonishangaza Ni kijana Tyson mwenye hasira kugombea. Hivi si wampe tu hata milioni Mia atulie barazani kwake na wajukuu. Hivi pesa anahitaji ya nini yule kijana?
 
Nchi hii bila JK kuitwa na mola tutateseka sana.
Kuanzia sasa na kuendelea hatuwezi kupata rais bora hadi JK aondoke...mzee wa hila ataendelea kutuletea mtu dhaifu ili aendelee kutawala kwa mlango wa uani
Nilishangaa sana kwa hadhi yake kama Rais mstaafu huwezi kuanza kuongelea mambo ya 2025 sasa hivi wakati nchi iko kwenye hali hii..ukame, vitu bei juu, umeme mgawo, maji shida nk maana yake uwezo wake wa kushauri kwa maslahi ya nchi ni km haupo, huwezi kuongelea uchaguzi wa 2025 leo..Rais mzuri huwa anapatikana kulingana na mahitaji ya wakati ukifika..suppose tunavamiwa km nchi katkati ya 2025 bado hayo wanayosema leo yatabaki hivyo? Ccm imejaa watu wa hovyo!
 
Hovyo ya hovyo kweli kweli mkuu.
Huyu mzee JK ni mlafi mno kuliko anavyoonekana.

Hana uchungu na nchi bali uchu na ulafi wa ufisadi tu.
Amezoea kuwa mtu wa makundi tangu ujana na anazeeka na makundi.

Huyu ni wa kichana laivu kuwa yeye ni kirusi hatari sana nchi hii.

Wanapanga safu ya ulaji kila uchwao
 
Ana matatizo huyu Mzee, haya yanayotokea sabb ni yeye, 2015 aliyestahili kuwa mgombea mwenza ccm alipaswa awe balozi Amina Salum Alli..huyu ndiye aliomba nafasi ya kuwa Rais yeye mwenyewe na kwa hivyo baada ya kura kutotosha alistahili awe mgombea mwenza na kweli sifa anazo kwa vile ni mzanzibar ili hata kama yatatokea haya yaliyotokea tungebaki na Rais ambaye aliomba hii nafasi..mimi naamini hali ingekuwa tofauti sana na sasa kwa sabb tunaongozwa na genge la watu waliomuweka mtu ambae hakujiandaa kuwa Rais..ndio shida tuko nayo, halafu ccm wanajitoa ufahamu wmesurrender chama chao kwa kikundi kinachoongoza chama kikiwa gizani nao wmekubali..ni ujuha wa kiwango cha juu sana! wanatuharibia nchi..
 
Ana matatizo huyu Mzee, haya yanayotokea sabb ni yeye, 2015 alitestahili kuwa mgombea mwenza ccm alipaswa awe balozi Amina Salum Alli..huyhu ndiye aliomba nafasi ya kuwa Rais yeye mwenyewe na kwa hivyo baada ya kura kutotosha alistahili awe mgombea mwenza kwa vile ni mzanzibar ili hata kama yatatokea haya yaliyotokea tungebaki na Rais ambaye aliomba hii nafasi..mimi naamini hali ingekuwa tofauti sana na sasa kwa sabb tunaongozwa na genge la watu waliomuweka mtu ambae hakujiandaa kuwa Rais..ndio shida yuko nayo, halafu ccm wanajitoa ufahamu wnasurrendet chama chao kwa kikundi kinachoongoza chama kikiwa gizani nao wmekubali..ni ujuha wa kiwango cha juu sana! wanatuharibia nchi..

Ndio tabia ya ccm.
Kumbuka Makinda aliwahi kuwekwa na akina Rostam ili waliongoze bunge nje ya bunge.
Na huyu SHH naye kawekwa tu na JK ili aiongoze nchi akiwa nje ya Ikulu.

Kwa kweli nchi inapita pagumu mno
 
Nchi hii bila JK kuitwa na mola tutateseka sana.
Kuanzia sasa na kuendelea hatuwezi kupata rais bora hadi JK aondoke...mzee wa hila ataendelea kutuletea mtu dhaifu ili aendelee kutawala kwa mlango wa uani
Kwani Kikwete alituletea mtu gani dhaifu?
 
Ifike mahali Hawa wazee watuachie nchi waache tamaa zakijinga ,ni nini ambacho hawajafanya kwenye maisha vijana tunahitaji nafasi j.k na genge lake waache tamaa
 
Mama hana visasi wala kinyongo Kama yule marehemu Mwendazake au Dj Mbowe ambao ukipishana au kuonyesha nia ya kugombea nafasi zao basi visasi,kuitwa msaliti na kufukuzwa chama vitakuhusu.
ccm na wafuas wao ni wapumbavu sana miaka zaid ya 60 bado maji ni tatizo
 
Nchi hii bila JK kuitwa na mola tutateseka sana.
Kuanzia sasa na kuendelea hatuwezi kupata rais bora hadi JK aondoke...mzee wa hila ataendelea kutuletea mtu dhaifu ili aendelee kutawala kwa mlango wa uani
Polepole aliwahi kusema lakini Watanzania kwa UJINGA wao WAKAMPUUZA
Alisema kuna Serikali nyuma ya hii Serikali na ndiyo inayotawala
 
Hajatoa hata senti yake kutafuta kura.
Hapo umenena. Hakutoa hata senti kushawishi apate kura na alijua uongozi mkuu haukutaka afurukute na wajumbe walifahamu hayo na bado akapata kura zile. Lazima aone kuwa heshima yake kwa jamii ni kubwa
 
Back
Top Bottom