msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 683
- 551
Ukisikia mtu anaongea habari za namna hii, huyo kichwani ni mufilisi..kitu muhim ni performance...UWEZO! bila kujali umri..Lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi uwezo wake utalinganisha na takataka za kina mwigulu?Hawa wazee wangepumzika sasa, naona kizazi chao kinapitwa na wakati, vijana walioonekana kupata kura nyingi waachwe wafanye kazi.
Yupo capable kiuongozi, genge likimkataa, wananchi wanamkubali ndani na nje ya chama chakeWakuu habari za Jpili, kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Mzee lukuvi alikuwa na maana gani kusema maneno yale huko Chamani Mambuzii?
Lukuvi ni waziri pekee aliyeitendea haki nchi hii kupitia ardhi kima yeyote anayembeza ni mbuzi tuUkisikia mtu anaongea habari za namna hii, huyo kichwani ni mufilisi..kitu muhim ni performance...UWEZO! bila kujali umri..Lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi uwezo wake utalinganisha na takataka za kina mwigulu?
Nchi hii bila JK kuitwa na mola tutateseka sana.Yupo capable kiuongozi, genge likimkataa, wananchi wanamkubali ndani na nje ya chama chake
Anamuandaa Prince ili iwe kama ya Zanzibarmzee wa hila ataendelea kutuletea mtu dhaifu ili aendelee kutawala kwa mlango wa uani
Dalai Lama anaita paradox of our age. People have degrees but less sense.Ukisikia mtu anaongea habari za namna hii, huyo kichwani ni mufilisi..kitu muhim ni performance...UWEZO! bila kujali umri..Lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi uwezo wake utalinganisha na takataka za kina mwigulu?
Hili zee hapana limejaa hila sanaAnamuandaa Prince ili iwe kama ya Zanzibar
Anamtengenezea mwanaye mazingira ya kutwaa kiti 2030 huku Babu wa Bumbuli naye akimpigania mwanae, usishangae 2030 wawili hao wanakuwa top leadersHili zee hapana limejaa hila sana
Mwanae ni zero kabisa kwa uongozi...hao wote ni taabu tupuAnamtengenezea mwanaye mazingira ya kutwaa kiti 2030 huku Babu wa Bumbuli naye akimpigania mwanae, usishangae 2030 wawili hao wanakuwa top leaders
Unaongea ukiwa umekalia nini kwanza? Nani kasema raisi hana uwezo wa kutumia mamlaka yake? To be a next president haimaanishi 2025 inweza kuwa hata kesho au baada ya hapoMuda mwingine hata hamtumii akili.... Hivi Kuna nani anaweza akamzuia Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya muungano Kwa katiba hii tuliokuwa nayo. Hayati Magufuli alitumia asilimia 25 tu ya maguvu ya katiba tuliokuwa nayo akaweza kutuokotea Bashiru kuwa katibu wa chama kutoka vichochoroni unadhania angefikia asilimia 50 ingekuwaje?
Usimwite binadamu mwenzako takataka hata km humpendi.Ukisikia mtu anaongea habari za namna hii, huyo kichwani ni mufilisi..kitu muhim ni performance...UWEZO! bila kujali umri..Lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi uwezo wake utalinganisha na takataka za kina mwigulu?
Ana uchungu Sana, viongozi wengi takataka kabisa! Wanawaza matumbo yao tu!Usimwite binadamu mwenzako takataka hata km humpendi.
Lukuvi ni waziri pekee aliyeitendea haki nchi hii kupitia ardhi kima yeyote anayembeza ni mbuzi tu