Amekwambia umetapakaa kila mahali....CUF ni Chama cha Kikristo...
Kwangu mm ccm ni nge na CDM ni Tandu. Ila wamo watu ktk CDM na ccm nawakubali kinacho nifanya nisite ni misimamo ya vyama vyao.mfano nilipenda sana maelezo ya zzk.
Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nnayapinga yaliyofanywa na Lukuvi, na amesema ni hofu yake! ana Islamophobia. Na nimemsikia akisema kwa kauli yake kuwa katumwa na Waziri Mkuu, sikumsikia akisema kama usemavyo wewe kuwa kaagizwa na Rais. Weka ushahidi kama unasema kweli. Mimi nimeweka ushahidi huko juu kuwa kasema katumwa na Waziri Mkuu.
Ukishindwa kuweka ushahidi basi wewe ni fataani na mzandik.
Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nnayapinga yaliyofanywa na Lukuvi, na amesema ni hofu yake! ana Islamophobia. Na nimemsikia akisema kwa kauli yake kuwa katumwa na Waziri Mkuu, sikumsikia akisema kama usemavyo wewe kuwa kaagizwa na Rais. Weka ushahidi kama unasema kweli. Mimi nimeweka ushahidi huko juu kuwa kasema katumwa na Waziri Mkuu.
Ukishindwa kuweka ushahidi basi wewe ni fataani na mzandik.
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.
Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".
Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.
Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.
Kiongozi unaefikia kutangaza Kanisani na Bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili Zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si Serikali ya Mfumo Kristo tunayoilalamikia siku zote humu?
Na leo Lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu Muungano upo kwa ajili ya Kanisa. Na unaongozwa na Kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.
Wanaonisikitisha zaidi ni wale Wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya Lukuvi, halafu wanajiita wao Waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa Lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya Kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani Lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko Kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa Islamic Brotherhood ya Egypt.
Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa Lukuvi? ikiwa nchi anayoiongelea ni Zanzibar na Wazanzibari 99% ni Waislaam ikiwa
wataamuwa nchi yao kuwa ya Kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?
[video=youtube_share;PIAPAAd3Dck]http://youtu.be/PIAPAAd3Dck[/video]
cc Ritz, gombesugu, kahtaan, THE BIG SHOW, CHAMVIGA
Moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.
Narudia tena kukujuza hapa nilipo bold hao Boko Haram na AL-Qaida hawawakilishi Waislam katika harakati zao hizo wanapigania maslahi yao ya kidunia, ebu pata darsa kiduchu kuhusu Uislam.
Na hapa chini msome kiongozi wako wa dini ambae ni shoga.
Tarejea barzani....
two wrongs dont make it right,
lipumba aibua jambo zito -
akiri kumnusuru kikwete
uchaguzi mkuu mwaka 2010
mwenyekiti wa chama cha
wananchi (cuf), profesa ibrahim
lipumba, ameibua suala zito
akikihusisha chama chake na
kumnusuru rais jakaya kikwete
katika uchaguzi mkuu uliopita.
Profesa lipumba alitoboa siri hiyo
katika msikiti wa idrissa, kariakoo,
jijini dar es salaam, alikokwenda
kuswali swala ya ijumaa.
Huku akisisitiza juu ya umuhimu wa
mshikamano wa kiimani, profesa
lipumba alianza kwa kuzungumzia
matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010,
na ushindani mkali wa kisiasa
uliokuwapo.
Alisema hawaoni matunda ya
jitihada walizofanya kumnusuru rais
kikwete asishindwe, kwani hata chini
ya uongozi wake, waislamu
wameendelea kutothaminiwa.
ninyi masheikh mnajua vizuri zaidi
hali ya kisiasa ilivyokuwa, kwamba
ilibidi zifanyike juhudi za makusudi
ili kuokoa jahazi. Lakini pamoja na
kuliokoa jahazi, hali halisi
inaonyesha mpaka sasa hakuna
matunda yoyote yaliyopatikana, na
tupo katika mtihani mgumu zaidi,
alisema.
Katika hali ambayo inasemekana
ushindi wa rais kikwete ulipatikana
kwa mbinu, huku wengine
wakiituhumu tume ya taifa ya
uchaguzi kuwa ilimnusuru mgombea
wa ccm, kauli hii ya profesa
lipumba inadokeza kwamba anajua
mkakati zaidi wa kazi ya tume ya
uchaguzi.
Katika hali isiyo ya kawaida, profesa
lipumba anaonekana kuhamasisha
waislamu kujipanga akisema
wenzetu wameanza kujipanga
kuelekea 2015.
kwahiyo kama waislamu tunataka
kupata haki zetu, kama tunataka
kuishi kama raia wa daraja la
kwanza katika nchi yetu, lazima
tujipange kuelekea uchaguzi mkuu
wa 2015; na sisi tuanze kujipanga
kwa sababu wenzetu wameanza
kujipanga, vinginevyo tutaendelea
kubaki maskini na raia wa daraja la
nne katika nchi yetu wenyewe.
mwaka 2010 wakati mshindi wa
uchaguzi wa rais alipotangazwa,
mimi nilikwenda kwenye hafla ya
kutangazwa matokeo, na nilikwenda
makusudi tu, siyo kwamba uchaguzi
ulikuwa huru na wa haki, ila
nilikwenda makusudi kwa kujua hali
ya kisiasa ilivyokuwa wakati huo.
huku nilikutana na sheikh basaleh.
Nilipokutana naye, alinipongeza;
sijui kama yeye anakumbuka,
akaniambia umeweka mbele imani
yako na umekuwa mwelewa wa
mambo.
hata hivyo, licha ya profesa lipumba
kuwaambia waislamu wajipange kwa
ajili ya uchaguzi mkuu, hakusema
wajipange kupitia chama kipi.
Lakini alisisitiza kwamba uchaguzi
ujao ni zaidi ya siasa au rais yupi
anafaa, bali maslahi, hasa ya
rasilimali nyeti zinazopatikana
katika ukanda wa pwani ya
mashariki, eneo ambalo alisema
linakaliwa zaidi na watu wenye
imani ya kiislamu.
Katika moja ya kauli zake, profesa
lipumba alisema kwamba kuna
chama kimoja kinataka kuchukua
madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi
wala kuthamini imani ya kiislamu.
Kwa muda sasa, zimekuwapo tetesi
kwamba ccm imekuwa inafanya
siasa za udini dhidi ya vyama vya
upinzani, hasa inapoona maslahi
yake yapo hatarini.
Mwaka 2010 makada kadhaa wa
ccm walitumia mitandao ya simu
kuchonga (spoofing) ujumbe wa simu
ulioshambulia mgombea mmoja wa
upinzani, ukimhusisha na imani
yake.
Kauli ya lipumba imethibitisha pia
minongono iliyokuwapo muda mrefu
kuwa baadhi ya kura za profesa
lipumba zilipotelea kwa rais
kikwete.
Katika uchaguzi huo, lipumba
alitangazwa kushika namba ya tatu,
nyuma ya rais kikwete na dk.
Willibrod slaa wa chadema.
Alipoulizwa kuhusu ziara yake
msikitini na kauli aliyotoa, profesa
lipumba alikiri kwamba alikwenda
kuzungumzia hali ya kisiasa nchini.
Chanzo: Tanzania daima - mei 26,
2013
Unaepotosha ni wewe. Lipumba alizungumzia kutetea haki ya wale aliosema ni raia wa daraja la pili dhidi ya makafir. Amesema wazi kuwa dua yake ni kuwa Mwenyezi Mungu amnusuru na makafir. Lukuvi amesema anaogopa uislamu na hususan aina ya uislamu unaoijochomoza Zanzibar. Mifano aliyoitoa ni ya kweli. Au unataka kutuambia kuwa wakristu hawajapigwa risasi, makanisa yao kuchomwa, hawaja mwagiwa tindikali, biashara zao kuvunjwa n.k. huko Unguja? Alipokosea Lukuvi ni kutumia vitendo vya waislamu wachache kujenga hofu katika wakristu dhidi ya uislamu. Lipumba nae alikosea alipotaka kujenga imani kuwa hali duni ya waislamu unatokana na wakristu.
Amandla.....
walio vunja makanisa huko znz ni interharamwa. inajulikana wazi wao ndio walio unda vikundi kama mbwa mwitu, janjaweed haya yote ni makundi ya ugaidi yanayofanya uhalifu zanzibar na kufadhiliwa na interharamwe ccm ..this is the facts.
makanisa wanavunja wao
mapadri wameua wao
walipiga mabomu
haya yote kutia hofu ili zanzibar ionekenane kuwa kuna chuki za kidini hivyo mfumo wao serikali 2 uendelee na kuendeleza ukoloni wa kanisa znz.
wewe kama hujui habari ndio hio
wanao fanya hayo ni ccm wenyewe na makundi yao ya kitarahamwe ya janjaweed na mbwa mwitu.na amri inakuja kuotoka bara
Nyerere aliwahi kusema kuwa mwanasiasa yeyote akifilisika kisera hukimbilia sera ya udini na ukabila!
Kwa hili FaizaFoxy na kubaliana na wewe Waislamu wa zenji wananyanyaswa sana na hii serikali dhalimu ya ccm
Kwa hili FaizaFoxy na kubaliana na wewe Waislamu wa zenji wananyanyaswa sana na hii serikali dhalimu ya ccm
Logic yako imenipita kidogo. Waliomuua padri na kuwamwagia tindikali wale wasichana wa kikristu walikuwa wamisheni wenzao? Hao hao wamisheni walichoma makanisa na kuvunja vibanda vya biashara vya wamisheni wenzao ili kuonyesha kuna chuki za kidini Zanzibar! Hatma yake, unasema, ni kuendeleza utawala wa KIKRISTU Zanzibar! Sina hata la kusema.
Amandla.......