kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Kama kasema hivyo hajakosea..ni kweliKuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea suala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.