Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Brother umesoma mpaka Darasa la ngapiUpumbavu tu mbona hao warabu wapo hapo kariakoo na hawatusumbui.
Nyie ndio mnasababisha CCM inatupa viongozi vichaa wanaamini Watanzania wote ni wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother umesoma mpaka Darasa la ngapiUpumbavu tu mbona hao warabu wapo hapo kariakoo na hawatusumbui.
Boya sana si tuwaachie kama wanataka kutawaliwa na waarabu hiyo ni juu yaoKumbe mjinga kiasi hiki
Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea swala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
Ni kweli ya siku nyingi lakini haijalishi ya leo au ya mwaka 70 kiongozi yoyote alitakiwa ajiuzuru haraka wenzetu hata kama ulibaka bado uko shuleni ikivuja unaachia madaraka. kwa clip hii huyu mzee ajitathmini haraka au Rais ampe makavu sio mtu mzuri huyu jamaa. Kataja tabaka ambao pia ni watanzania kwa nia chafu na kuidharau Zanzibar kama vile mapinduzi waliyoyafanya hayana maana yoyote hawawezi kuyalinda. Hutu mtu awajibike kwa kauli hizi Mama alishasema historia yako itakufuata milele huko mbeleni. JPM siku za mwisho alimsema huyu kwa jina aache ndoto za kutaka urais maana hatapata. Time kumuweka pembeni for good.Hiyo clip mbona ni ya siku nyingi, nadhani ilikua Dodoma 2016 kwenye kanisa flani.
Huyo adui ni nani?Kama ni Sultan angetaka kurudi Unguja angekua na madhara gani kwa Bara?Kama ni hofu ya kupakana na bahari mbona Kenya na Msumbiji hazijawahi kushambuliwa kutokea baharini?Hii theory huwa naiona haina ukweli wowote
Ya zamani sana nafikiri 2013 or 2014Ni ya hivi karibuni au wamefukua makaburi?
Ni wakati wa serikali ya awamu ya nne wakati wa mchakato wa Katiba MpyaSi kweli, hiyo ni ya enzi za Mchonga
mfano mzuri kwa hilo angalia cuba na marekaniHuyo adui ni nani?Kama ni Sultan angetaka kurudi Unguja angekua na madhara gani kwa Bara?Kama ni hofu ya kupakana na bahari mbona Kenya na Msumbiji hazijawahi kushambuliwa kutokea baharini?Hii theory huwa naiona haina ukweli wowote
Darasa la pili mkuu. Vipi wewe uliyegraduate MIT hupendi kuwa kiongozi?Brother umesoma mpaka Darasa la ngapi
Nyie ndio mnasababisha CCM inatupa viongozi vichaa wanaamini Watanzania wote ni wajinga
Mwenge, hivi uliwashwa mwaka huu!?...kutueleza .. mwenge ...
Hili nilishawahi mwambia mtu humu akaniharishia sana nikaona sina haja ya kupambana na kilaza!Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea suala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
Utawashwa PembaMwenge, hivi uliwashwa mwaka huu!?
Sawa. Asante kwa taarifa.Utawashwa Pemba
Pia Zanzibar inaweza kuwa lango la kupenyezea magaidi kuja kutusumbua huku Bara! Ndio maana tunaona tuendelee kushikamana vyema kuepusha rabsha
Hapo lukuvi hajatoa siri yoyote,siri za hapo Zanzibar ni za hatari sana,nazifahamu na sintathubutu kuzitoa kwa mpaka nakufa,SISI na Zanzibar ni ndg moja tuishi pamoja tuheshimiane eehe wajawema...!Na kwa wenzetu hawa mwarabu ndio kila kitu..na ndiye mwenye dini,kama ilivyo kwa wakristo na Israel yao.
Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea suala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.