Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Wewe haupo sensitive na si mdini kama Lukuvi ndiyo maana ukaingia kujibu utumbo au siyo?
Me love u sana wewe le mutindizzz You knoww ungekuwa single ningekuposaaa:heh:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe haupo sensitive na si mdini kama Lukuvi ndiyo maana ukaingia kujibu utumbo au siyo?
William Lukuvi, yuko kwenye Serikali ambayo haina dini! lakini yeye mwenyewe ana dini na alienda kuongea kwenye nyumba ya dini na huko ndipo alipowaudhi Waislaam.
Hapa FaizaFoxy Huyu Waziri alikosea kabisa na kustahili adhabu kali.Serikali yetu hii ya CCM haina utaratibu huo wa kuadhibu wakosaji zaidi ya kuwapandisha hadhi na kuwakirimu,kiasi kwamba unaweza kufikiri kuwa wanatumwa na viongozi/kiongozi wa juu kuyasema haya.
My take.
Tuungane kutokemza aina hii ya utawala dhidi ya nchi yetu,tukiachilia mbali tofauti zetu za kidini na kisiasa.Kinacho husu Tanzania tuwe wamoja.Kinyume na Hapo safari itakuwa ndefu kufikia malengo mahsusi ya kujikomboa Ki fikra,Uchumi,Kijamii na Kimaendeleo kwa ujumla wake
Hivi alizungumza lini na tunajadili haya siku gani tangu ayaseme haya,nadhan twapaswa kupuuza kama nasisi hatuna upande katika udini!
naam, serikali haina dini! Au hilo ni shida kwako kulijuwa? Lakini kumbuka, lukuvi pia hana dini au wewe unaijuwa dini yake? Mimi sijawahi kumuona au kumsikia akienda kuongea msikitini.
Hata pinda aliyemtuma lukuvi kwenda kubwabwaja na kuhororoja kanisani hana dini. Au wewe una ushahidi kuwa pinda ana dini?
Jee, wewe una dini?
Sote hatuna dini na hizi dini zililetwa ana wakoloni wajerumani walilete ukristo na waarabu walilete uislamu hivyo sisi hatuna dini ila dini yetu ni uafrika kusali kwa mababu zetu hivyo msilumbane hovyo kuhusu dini zitaleta ballaaa bure
Hapana, si kweli, hivyo ndivyo ulivyoaminishwa. Ebrahim alikuwa Mwaarabu? Mussa alikuwa Mwaarabu, hao wote wamehubiri Uislam.
Eshmail ansema Ukristo si dini, nakubalina nae. Lakini kusema sote hatuna dini, si kweli. Waislam Uislam ndiyo dini yetu.
Unajuwa neno dini linatokana na Kiarabu, labda maana ya neno dini inakupiga chenga, kwa kukujuza na kwa ufupi tutu, dini maana yake ni njia ya kuishi hapa duniani kama aliyotufundisha aliyetuumba. Na Waislaam tunaamini nia ni moja tu kwa kuwa muumba ni mmoja tu, Uislam ndiyo dini na kwa hilo sina argument na Ishmael kwa kukiri kwake kuwa Ukristo si dini kwa maana si njia.