Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salary Slip dude hili hapa ndani ya kibuyu.Siri imefichuka.
Bado tu kutueleza kwanini tunaung'ang'ania mwenge wa kishirikina
Salary Slip dude hili hapa ndani ya kibuyu.
Hiyo clip mbona ni ya siku nyingi, nadhani ilikua Dodoma 2016 kwenye kanisa flani.Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea swala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
Kumbe mjinga kiasi hikiKuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea swala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
NYAHUNI akili apate wapi?Kumbe mjinga kiasi hiki
Kuna clip nimeona mtandaoni ambapo Lukuvi anaongelea swala la Muungano na katika matamshi yake, anasikika akisema tukiwaacha Wazanzibar pekee yao, kuna hatari kukosekana kwa usalama kutokana na uwezekano wa Waarabu kurudi Zanzibar na kuzalisha siasa kali na hivyo wanaweza kutusumbua.
Tofautisha kati ya Waarab halisi na hao Waarab koko wa hapo Kariakoo wewe!Upumbavu tu mbona hao warabu wapo hapo kariakoo na hawatusumbui.
Kamanda, hii ya siku nyingi sana, naamini hata wewe ulishaiona. Labda useme kwa nini umeileta kama habari mpya leo?Ni ya hivi karibuni au wamefukua makaburi?
Si kweli, hiyo ni ya enzi za MchongaYa zamani sana hiyo enzi za JK!
Julius Kambarage!Si kweli, hiyo ni ya enzi za Mchonga
Kama hiyo kwako ilikuwa siri, basi bado mambo mengi kwako ni siri.Siri imefichuka.
Bado tu kutueleza kwanini tunaung'ang'ania mwenge wa kishirikina
Au adui angeweka maendeleo makubwa ya biashara,makazi na elimu na sisi tungenung'unija.Mkuu ki ukweli mwalimu alikuwa anaona mbali kwa maana kuuchanganya mchanga wa bara na visiwani kulikuwa na maana kubwa sana mwalimu alikuwa ameangalia sana usalama wa taifa lake na hesabu zake zilikuwa kali sana maana kama mwalimu asinge Fanya hvyo ingekuwa ni rahisi sana kwa adui kutushambilia wala asinge pata tabu sana angekimbilia visiwani na kuweka kambi hapo na hiyo ndio ingekuwa ticket yake ya ushindi
Na ukikaa chini na kufanya tathimini ingekuwa rahisi sana kwa adaui kufanya mashambulizi kuja bara na adui angefanikiwa kwa asilimia kubwa kuipukutisha bara maana angeanzia na white house maana ipo pembezoni mwa bahari ya hindi pamoja nyumba nyingi za viongozi zilikuwa karibu sana na ufukwe wa bahari ya hindi na serikili iketetereka Kwahyo adui hawezi kufanya kitu kwakuwa sisi wote ni wamoja
Kwa wale ambao hawaoni faida ya muungano na wanao kalia kupiga kelele tuwasamehe kwa kuwa hawajui walisemalo.
Huyo adui ni nani?Kama ni Sultan angetaka kurudi Unguja angekua na madhara gani kwa Bara?Kama ni hofu ya kupakana na bahari mbona Kenya na Msumbiji hazijawahi kushambuliwa kutokea baharini?Hii theory huwa naiona haina ukweli wowoteMkuu ki ukweli mwalimu alikuwa anaona mbali kwa maana kuuchanganya mchanga wa bara na visiwani kulikuwa na maana kubwa sana mwalimu alikuwa ameangalia sana usalama wa taifa lake na hesabu zake zilikuwa kali sana maana kama mwalimu asinge Fanya hvyo ingekuwa ni rahisi sana kwa adui kutushambilia wala asinge pata tabu sana angekimbilia visiwani na kuweka kambi hapo na hiyo ndio ingekuwa ticket yake ya ushindi
Na ukikaa chini na kufanya tathimini ingekuwa rahisi sana kwa adaui kufanya mashambulizi kuja bara na adui angefanikiwa kwa asilimia kubwa kuipukutisha bara maana angeanzia na white house maana ipo pembezoni mwa bahari ya hindi pamoja nyumba nyingi za viongozi zilikuwa karibu sana na ufukwe wa bahari ya hindi na serikili iketetereka Kwahyo adui hawezi kufanya kitu kwakuwa sisi wote ni wamoja
Kwa wale ambao hawaoni faida ya muungano na wanao kalia kupiga kelele tuwasamehe kwa kuwa hawajui walisemalo.