Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Ninawashangaa sana na kuwasikitikia viongozi wa dini wanaoongoza kwa unafiki nchi hii, ambao natamani jamii kuwadharau na kuwaona hawafai, badala ya kufanya kazi za imani kuwaokoa watu na dhambi wao wanaisifia na kuipigia upatu ccm, oneni sasa ujasiri wa Lukuvi kuongea kwa unafiki na ubabe kuwagawa wananchi kwa imani zao.

Viongozi wa kidini wanaoongoza kwa unafiki nchi hii ni;
1. Kardinali Pengo
2. Mufti Simba
3. Mtetemela
4. ..............
5. ..........

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwangu mm ccm ni nge na CDM ni Tandu. Ila wamo watu ktk CDM na ccm nawakubali kinacho nifanya nisite ni misimamo ya vyama vyao.mfano nilipenda sana maelezo ya zzk.

Nitajie watano unaowakubali cdm na watano unaowakubali ccm.
 
Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nnayapinga yaliyofanywa na Lukuvi, na amesema ni hofu yake! ana Islamophobia. Na nimemsikia akisema kwa kauli yake kuwa katumwa na Waziri Mkuu, sikumsikia akisema kama usemavyo wewe kuwa kaagizwa na Rais. Weka ushahidi kama unasema kweli. Mimi nimeweka ushahidi huko juu kuwa kasema katumwa na Waziri Mkuu.

Ukishindwa kuweka ushahidi basi wewe ni fataani na mzandik.

Ushahidi wa Lukuvi sijauona hapo juu , bali nimeona ufafanuzi mzuri wa Pro. Lipumba.
 
Leta hoja acha matusi. Sijashibdwa kukutukana ila sioni haja kukutukana. Sijamuunga mkono lukuvi hata kkdogo.

Dada faiza kakosea hata kama lukuvu amekosea pia. Two wrongs doesnt make it right.
Kingine tafuta cheti naona kazi hauna. Ushabiki tu wa kisiasa.




QUOTE=gombesugu;9286867]Mkuu,

Umezungumza mangi mno dhidi ya Mkuu FaizaFoxy...nina hakika mwenyewe yupo hapa anakusoma na takupatia majawaba yako murua...kama akipata fursa na ikilazim!?

Kama weye unajikhis umo Serikalini kama unavyotujuza!?...sasa kwanini watumia lugha hiyo ya vitisho na dharau!?

Kwa context ya hiyo bayana yako ya kipuuzi...yaani unajaribu kutuaminisha yakua huyo Rais Kikwete "Boss wako", "udhaifu" na "ustaarabu" wake ndo chanzo cha haya matatizo unayodai yanafanzwa na akina "FaizaFoxy na genge" lake kama ulivyotuambia!?

Wee kweli ni mpuuzi na mnyama wa hali ya juu!...yaani unawatisha Wanajamvi hapa yakuwa utawasaka baada ya 2015!?...kwa uhakika upi uliokua nao na kwa vigezo vipi!? Embu tujulishe hapa hapa jamvini!?

Usituletee story zako za vijiweni hapa!

Sasa, mie binafsi nakuhakikishia yakua weye ni kiumbe mduchu mno kwenye hiyo system/serikali hapo nyumbani! Na walaa hizi siasa chafu/za kuchafuana sio level yako au game yako...asilan abadan!

Weye ni mtoto mduchu mno...katafute chandimu ukacheze na wanzio! Ebo!

Yaani unatuletea vitisho vya kitoto na ukosefu wa adab hapa jamvini,sio!?

Wee unajaribu kumshutumu vikali Mkuu FaizaFoxy yakua ati yakua yeye na "genge lake" wanahatarisha hiyo myth yenu ya "umoja na amani" hapo nchini!?...sasa weye mwenyewe umejisoma kwa makini huo uharo wako ulotuletea hapa!?

Kwa hiyo hayo ndo maoni au mtazamo wa baadhi ya nyinyi wafanyikazi wa serikali baada ya hiyo 2015!?

Sasa je unafahamu kiundani athari za matamko ya kiharamia kama hayo yako!?...khasa kama hao unaowashutumu wakiamua kuyachukulia serious, na labda nao kuamua kujiandaa ili kukabiliana na vitisho vyako vya kitoto!?...ambavyo ati unajaribu kutuaminisha yakua ndo msimamo wa wafanyikazi wenye madaraka ya juu serikalini sio!?

Embu tutajie weye unafanzia idara ipi huko serikalini!?...kama utasema kweli, basi nakuhakikishia japo leo ni w'end lakini kama una wadhifa wowote nyeti kama unavyojaribu kutuaminisha...basi, utaitwa leo hiihii ukajieleze kwa Boss wako yeyote hapo!?

Wacha nipate coffee hapa kiduchu, nitakurejea!

Ahsanta sana![/QUOTE]




The king.
 
unaposema "Na Bado" usisahau usemi usemao..."kila lenye Mwanzo......." au ngoma inapokaribia kuvunjwa ndio inazidi kunoga...
 
Mimi ni mwanachama hai wa CCM na nnayapinga yaliyofanywa na Lukuvi, na amesema ni hofu yake! ana Islamophobia. Na nimemsikia akisema kwa kauli yake kuwa katumwa na Waziri Mkuu, sikumsikia akisema kama usemavyo wewe kuwa kaagizwa na Rais. Weka ushahidi kama unasema kweli. Mimi nimeweka ushahidi huko juu kuwa kasema katumwa na Waziri Mkuu.

Ukishindwa kuweka ushahidi basi wewe ni fataani na mzandik.

Ofisi ya waziri mkuu ni direct link na Ikulu,
kauli ya ofisi ya waziri mkuu ni kauli ya Ikulu.
otherwise wewe ni chichidodo, you hate your wn maggot.
 
Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".

Jana nikauliza ni waziri gani huyo? sikupata jibu humu JF.

Lakini kwa kuwa Mungu hamfichi mnafik, huyo waziri kajitokeza mwenyewe bungeni leo hii na kwanza kukiri kuwa katumwa na Waziri Mkuu na kusema kuwa hiyo ni hofu, "phobia" yake na akaendelea kusema "hakuna yeyote wa kunizuia hofu yangu hii".

Akazunguka wee na maneno lakini akashindwa kukisema kile alichokieleza Lipumba.

Kwa uchache, Lukuvi ameudhihirishia umma kuwa ana "Islamophobia" au hofu ya Uislaam.

Kiongozi unaefikia kutangaza Kanisani na Bungeni kuwa hutaki kuwapa mamlaka kamili Zanzibar kwa ajili ya dini yao, kweli hiyo si Serikali ya Mfumo Kristo tunayoilalamikia siku zote humu?

Na leo Lukuvi kahitimisha kwa kuniunga mkono yale ninayoyasema humu kila siku kuwa huu Muungano upo kwa ajili ya Kanisa. Na unaongozwa na Kanisa. Huwa mnajifanya hamnielewi lakini leo yamebainika bayana.

Wanaonisikitisha zaidi ni wale Wazanzibari waliobaki kuipigia makofi hoja hii ya Lukuvi, halafu wanajiita wao Waislaam. Waislaam mnaambiwa hampewi nchi yenu kwa kuwa Lukuvi ana hofu mkipewa mtaifanya dola ya Kiislaam na nyinyi mnashangilia? Yaani Lukuvi anawaambia kinaga ubaga kuwa mtabaki ndani ya mfuko Kristo mkitaka msitake na mkikataa basi ni bora nchi hii ishikwe na jeshi na akafikia mpaka kuwapa mfano wa Islamic Brotherhood ya Egypt.

Kinachonishangaza hii hofu yanini kwa Lukuvi? ikiwa nchi anayoiongelea ni Zanzibar na Wazanzibari 99% ni Waislaam ikiwa
wataamuwa nchi yao kuwa ya Kiislaam yeye anapatwa na hofu ya nini?

[video=youtube_share;PIAPAAd3Dck]http://youtu.be/PIAPAAd3Dck[/video]

cc Ritz, gombesugu, kahtaan, THE BIG SHOW, CHAMVIGA
Moderator tafadhali usiiunganishe hii na nyuzi nyingine hii maudhui yake inajitegemea.

LIPUMBA AIBUA JAMBO ZITO -
AKIRI KUMNUSURU KIKWETE
UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010
MWENYEKITI wa Chama cha
Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim
Lipumba, ameibua suala zito
akikihusisha chama chake na
“kumnusuru” Rais Jakaya Kikwete
katika uchaguzi mkuu uliopita.
Profesa Lipumba alitoboa siri hiyo
katika Msikiti wa Idrissa, Kariakoo,
jijini Dar es Salaam, alikokwenda
kuswali swala ya Ijumaa.
Huku akisisitiza juu ya umuhimu wa
mshikamano wa kiimani, Profesa
Lipumba alianza kwa kuzungumzia
matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010,
na ushindani mkali wa kisiasa
uliokuwapo.
Alisema hawaoni matunda ya
jitihada walizofanya kumnusuru Rais
Kikwete asishindwe, kwani hata chini
ya uongozi wake, Waislamu
wameendelea kutothaminiwa.
“Ninyi masheikh mnajua vizuri zaidi
hali ya kisiasa ilivyokuwa, kwamba
ilibidi zifanyike juhudi za makusudi
ili kuokoa jahazi. Lakini pamoja na
kuliokoa jahazi, hali halisi
inaonyesha mpaka sasa hakuna
matunda yoyote yaliyopatikana, na
tupo katika mtihani mgumu zaidi,”
alisema.
Katika hali ambayo inasemekana
ushindi wa Rais Kikwete ulipatikana
kwa mbinu, huku wengine
wakiituhumu Tume ya Taifa ya
Uchaguzi kuwa ilimnusuru mgombea
wa CCM, kauli hii ya Profesa
Lipumba inadokeza kwamba anajua
mkakati zaidi wa kazi ya Tume ya
Uchaguzi.
Katika hali isiyo ya kawaida, Profesa
Lipumba anaonekana kuhamasisha
Waislamu kujipanga akisema
“wenzetu wameanza kujipanga”
kuelekea 2015.
“Kwahiyo kama Waislamu tunataka
kupata haki zetu, kama tunataka
kuishi kama raia wa daraja la
kwanza katika nchi yetu, lazima
tujipange kuelekea uchaguzi mkuu
wa 2015; na sisi tuanze kujipanga
kwa sababu wenzetu wameanza
kujipanga, vinginevyo tutaendelea
kubaki maskini na raia wa daraja la
nne katika nchi yetu wenyewe.
“Mwaka 2010 wakati mshindi wa
uchaguzi wa rais alipotangazwa,
mimi nilikwenda kwenye hafla ya
kutangazwa matokeo, na nilikwenda
makusudi tu, siyo kwamba uchaguzi
ulikuwa huru na wa haki, ila
nilikwenda makusudi kwa kujua hali
ya kisiasa ilivyokuwa wakati huo.
“Huku nilikutana na Sheikh Basaleh.
Nilipokutana naye, alinipongeza;
sijui kama yeye anakumbuka,
akaniambia ‘umeweka mbele imani
yako na umekuwa mwelewa wa
mambo.’”
Hata hivyo, licha ya Profesa Lipumba
kuwaambia Waislamu wajipange kwa
ajili ya uchaguzi mkuu, hakusema
wajipange kupitia chama kipi.
Lakini alisisitiza kwamba uchaguzi
ujao ni zaidi ya siasa au rais yupi
anafaa, bali maslahi, hasa ya
rasilimali nyeti zinazopatikana
katika ukanda wa Pwani ya
Mashariki, eneo ambalo alisema
linakaliwa zaidi na watu wenye
imani ya Kiislamu.
Katika moja ya kauli zake, Profesa
Lipumba alisema kwamba kuna
chama kimoja kinataka kuchukua
madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi
wala kuthamini imani ya Kiislamu.
Kwa muda sasa, zimekuwapo tetesi
kwamba CCM imekuwa inafanya
siasa za udini dhidi ya vyama vya
upinzani, hasa inapoona maslahi
yake yapo hatarini.
Mwaka 2010 makada kadhaa wa
CCM walitumia mitandao ya simu
kuchonga (spoofing) ujumbe wa simu
ulioshambulia mgombea mmoja wa
upinzani, ukimhusisha na imani
yake.
Kauli ya Lipumba imethibitisha pia
minong’ono iliyokuwapo muda mrefu
kuwa baadhi ya kura za Profesa
Lipumba zilipotelea kwa Rais
Kikwete.
Katika uchaguzi huo, Lipumba
alitangazwa kushika namba ya tatu,
nyuma ya Rais Kikwete na Dk.
Willibrod Slaa wa CHADEMA.
Alipoulizwa kuhusu ziara yake
msikitini na kauli aliyotoa, Profesa
Lipumba alikiri kwamba alikwenda
kuzungumzia hali ya kisiasa nchini.
CHANZO: Tanzania Daima - Mei 26,
2013
 
Last edited by a moderator:
Narudia tena kukujuza hapa nilipo bold hao Boko Haram na AL-Qaida hawawakilishi Waislam katika harakati zao hizo wanapigania maslahi yao ya kidunia, ebu pata darsa kiduchu kuhusu Uislam.


Na hapa chini msome kiongozi wako wa dini ambae ni shoga.


Tarejea barzani....

LIPUMBA AIBUA JAMBO ZITO -
AKIRI KUMNUSURU KIKWETE
UCHAGUZI MKUU MWAKA 2010
MWENYEKITI wa Chama cha
Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim
Lipumba, ameibua suala zito
akikihusisha chama chake na
“kumnusuru” Rais Jakaya Kikwete
katika uchaguzi mkuu uliopita.
Profesa Lipumba alitoboa siri hiyo
katika Msikiti wa Idrissa, Kariakoo,
jijini Dar es Salaam, alikokwenda
kuswali swala ya Ijumaa.
Huku akisisitiza juu ya umuhimu wa
mshikamano wa kiimani, Profesa
Lipumba alianza kwa kuzungumzia
matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010,
na ushindani mkali wa kisiasa
uliokuwapo.
Alisema hawaoni matunda ya
jitihada walizofanya kumnusuru Rais
Kikwete asishindwe, kwani hata chini
ya uongozi wake, Waislamu
wameendelea kutothaminiwa.
“Ninyi masheikh mnajua vizuri zaidi
hali ya kisiasa ilivyokuwa, kwamba
ilibidi zifanyike juhudi za makusudi
ili kuokoa jahazi. Lakini pamoja na
kuliokoa jahazi, hali halisi
inaonyesha mpaka sasa hakuna
matunda yoyote yaliyopatikana, na
tupo katika mtihani mgumu zaidi,”
alisema.
Katika hali ambayo inasemekana
ushindi wa Rais Kikwete ulipatikana
kwa mbinu, huku wengine
wakiituhumu Tume ya Taifa ya
Uchaguzi kuwa ilimnusuru mgombea
wa CCM, kauli hii ya Profesa
Lipumba inadokeza kwamba anajua
mkakati zaidi wa kazi ya Tume ya
Uchaguzi.
Katika hali isiyo ya kawaida, Profesa
Lipumba anaonekana kuhamasisha
Waislamu kujipanga akisema
“wenzetu wameanza kujipanga”
kuelekea 2015.
“Kwahiyo kama Waislamu tunataka
kupata haki zetu, kama tunataka
kuishi kama raia wa daraja la
kwanza katika nchi yetu, lazima
tujipange kuelekea uchaguzi mkuu
wa 2015; na sisi tuanze kujipanga
kwa sababu wenzetu wameanza
kujipanga, vinginevyo tutaendelea
kubaki maskini na raia wa daraja la
nne katika nchi yetu wenyewe.
“Mwaka 2010 wakati mshindi wa
uchaguzi wa rais alipotangazwa,
mimi nilikwenda kwenye hafla ya
kutangazwa matokeo, na nilikwenda
makusudi tu, siyo kwamba uchaguzi
ulikuwa huru na wa haki, ila
nilikwenda makusudi kwa kujua hali
ya kisiasa ilivyokuwa wakati huo.
“Huku nilikutana na Sheikh Basaleh.
Nilipokutana naye, alinipongeza;
sijui kama yeye anakumbuka,
akaniambia ‘umeweka mbele imani
yako na umekuwa mwelewa wa
mambo.’”
Hata hivyo, licha ya Profesa Lipumba
kuwaambia Waislamu wajipange kwa
ajili ya uchaguzi mkuu, hakusema
wajipange kupitia chama kipi.
Lakini alisisitiza kwamba uchaguzi
ujao ni zaidi ya siasa au rais yupi
anafaa, bali maslahi, hasa ya
rasilimali nyeti zinazopatikana
katika ukanda wa Pwani ya
Mashariki, eneo ambalo alisema
linakaliwa zaidi na watu wenye
imani ya Kiislamu.
Katika moja ya kauli zake, Profesa
Lipumba alisema kwamba kuna
chama kimoja kinataka kuchukua
madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi
wala kuthamini imani ya Kiislamu.
Kwa muda sasa, zimekuwapo tetesi
kwamba CCM imekuwa inafanya
siasa za udini dhidi ya vyama vya
upinzani, hasa inapoona maslahi
yake yapo hatarini.
Mwaka 2010 makada kadhaa wa
CCM walitumia mitandao ya simu
kuchonga (spoofing) ujumbe wa simu
ulioshambulia mgombea mmoja wa
upinzani, ukimhusisha na imani
yake.
Kauli ya Lipumba imethibitisha pia
minong’ono iliyokuwapo muda mrefu
kuwa baadhi ya kura za Profesa
Lipumba zilipotelea kwa Rais
Kikwete.
Katika uchaguzi huo, Lipumba
alitangazwa kushika namba ya tatu,
nyuma ya Rais Kikwete na Dk.
Willibrod Slaa wa CHADEMA.
Alipoulizwa kuhusu ziara yake
msikitini na kauli aliyotoa, Profesa
Lipumba alikiri kwamba alikwenda
kuzungumzia hali ya kisiasa nchini.
CHANZO: Tanzania Daima - Mei 26,
2013
 
Habari ni kwamba profesa anashauriwa kufafanua hotuba hii mara atakapokanyaga mjaengoni ili mradi mwenyekiti ampatie muda kama alivyofanya kwa lukuvi
lipumba aibua jambo zito -
akiri kumnusuru kikwete
uchaguzi mkuu mwaka 2010
mwenyekiti wa chama cha
wananchi (cuf), profesa ibrahim
lipumba, ameibua suala zito
akikihusisha chama chake na
“kumnusuru” rais jakaya kikwete
katika uchaguzi mkuu uliopita.
Profesa lipumba alitoboa siri hiyo
katika msikiti wa idrissa, kariakoo,
jijini dar es salaam, alikokwenda
kuswali swala ya ijumaa.
Huku akisisitiza juu ya umuhimu wa
mshikamano wa kiimani, profesa
lipumba alianza kwa kuzungumzia
matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2010,
na ushindani mkali wa kisiasa
uliokuwapo.
Alisema hawaoni matunda ya
jitihada walizofanya kumnusuru rais
kikwete asishindwe, kwani hata chini
ya uongozi wake, waislamu
wameendelea kutothaminiwa.
“ninyi masheikh mnajua vizuri zaidi
hali ya kisiasa ilivyokuwa, kwamba
ilibidi zifanyike juhudi za makusudi
ili kuokoa jahazi. Lakini pamoja na
kuliokoa jahazi, hali halisi
inaonyesha mpaka sasa hakuna
matunda yoyote yaliyopatikana, na
tupo katika mtihani mgumu zaidi,”
alisema.
Katika hali ambayo inasemekana
ushindi wa rais kikwete ulipatikana
kwa mbinu, huku wengine
wakiituhumu tume ya taifa ya
uchaguzi kuwa ilimnusuru mgombea
wa ccm, kauli hii ya profesa
lipumba inadokeza kwamba anajua
mkakati zaidi wa kazi ya tume ya
uchaguzi.
Katika hali isiyo ya kawaida, profesa
lipumba anaonekana kuhamasisha
waislamu kujipanga akisema
“wenzetu wameanza kujipanga”
kuelekea 2015.
“kwahiyo kama waislamu tunataka
kupata haki zetu, kama tunataka
kuishi kama raia wa daraja la
kwanza katika nchi yetu, lazima
tujipange kuelekea uchaguzi mkuu
wa 2015; na sisi tuanze kujipanga
kwa sababu wenzetu wameanza
kujipanga, vinginevyo tutaendelea
kubaki maskini na raia wa daraja la
nne katika nchi yetu wenyewe.
“mwaka 2010 wakati mshindi wa
uchaguzi wa rais alipotangazwa,
mimi nilikwenda kwenye hafla ya
kutangazwa matokeo, na nilikwenda
makusudi tu, siyo kwamba uchaguzi
ulikuwa huru na wa haki, ila
nilikwenda makusudi kwa kujua hali
ya kisiasa ilivyokuwa wakati huo.
“huku nilikutana na sheikh basaleh.
Nilipokutana naye, alinipongeza;
sijui kama yeye anakumbuka,
akaniambia ‘umeweka mbele imani
yako na umekuwa mwelewa wa
mambo.’”
hata hivyo, licha ya profesa lipumba
kuwaambia waislamu wajipange kwa
ajili ya uchaguzi mkuu, hakusema
wajipange kupitia chama kipi.
Lakini alisisitiza kwamba uchaguzi
ujao ni zaidi ya siasa au rais yupi
anafaa, bali maslahi, hasa ya
rasilimali nyeti zinazopatikana
katika ukanda wa pwani ya
mashariki, eneo ambalo alisema
linakaliwa zaidi na watu wenye
imani ya kiislamu.
Katika moja ya kauli zake, profesa
lipumba alisema kwamba kuna
chama kimoja kinataka kuchukua
madaraka ya nchi, lakini kinasaidiwa
na mataifa ya magharibi, yasiyoenzi
wala kuthamini imani ya kiislamu.
Kwa muda sasa, zimekuwapo tetesi
kwamba ccm imekuwa inafanya
siasa za udini dhidi ya vyama vya
upinzani, hasa inapoona maslahi
yake yapo hatarini.
Mwaka 2010 makada kadhaa wa
ccm walitumia mitandao ya simu
kuchonga (spoofing) ujumbe wa simu
ulioshambulia mgombea mmoja wa
upinzani, ukimhusisha na imani
yake.
Kauli ya lipumba imethibitisha pia
minong’ono iliyokuwapo muda mrefu
kuwa baadhi ya kura za profesa
lipumba zilipotelea kwa rais
kikwete.
Katika uchaguzi huo, lipumba
alitangazwa kushika namba ya tatu,
nyuma ya rais kikwete na dk.
Willibrod slaa wa chadema.
Alipoulizwa kuhusu ziara yake
msikitini na kauli aliyotoa, profesa
lipumba alikiri kwamba alikwenda
kuzungumzia hali ya kisiasa nchini.
Chanzo: Tanzania daima - mei 26,
2013
 
Unaepotosha ni wewe. Lipumba alizungumzia kutetea haki ya wale aliosema ni raia wa daraja la pili dhidi ya makafir. Amesema wazi kuwa dua yake ni kuwa Mwenyezi Mungu amnusuru na makafir. Lukuvi amesema anaogopa uislamu na hususan aina ya uislamu unaoijochomoza Zanzibar. Mifano aliyoitoa ni ya kweli. Au unataka kutuambia kuwa wakristu hawajapigwa risasi, makanisa yao kuchomwa, hawaja mwagiwa tindikali, biashara zao kuvunjwa n.k. huko Unguja? Alipokosea Lukuvi ni kutumia vitendo vya waislamu wachache kujenga hofu katika wakristu dhidi ya uislamu. Lipumba nae alikosea alipotaka kujenga imani kuwa hali duni ya waislamu unatokana na wakristu.

Amandla.....

walio vunja makanisa huko znz ni interharamwa. inajulikana wazi wao ndio walio unda vikundi kama mbwa mwitu, janjaweed haya yote ni makundi ya ugaidi yanayofanya uhalifu zanzibar na kufadhiliwa na interharamwe ccm ..this is the facts.
makanisa wanavunja wao
mapadri wameua wao
walipiga mabomu
haya yote kutia hofu ili zanzibar ionekenane kuwa kuna chuki za kidini hivyo mfumo wao serikali 2 uendelee na kuendeleza ukoloni wa kanisa znz.
wewe kama hujui habari ndio hio
wanao fanya hayo ni ccm wenyewe na makundi yao ya kitarahamwe ya janjaweed na mbwa mwitu.na amri inakuja kuotoka bara

 
CRABAT KAPANGE WONGO HUU VIZURI ZAIDI[

KKAQUOTE=crabat;9294167]walio vunja makanisa huko znz ni interharamwa. inajulikana wazi wao ndio walio unda vikundi kama mbwa mwitu, janjaweed haya yote ni makundi ya ugaidi yanayofanya uhalifu zanzibar na kufadhiliwa na interharamwe ccm ..this is the facts.
makanisa wanavunja wao
mapadri wameua wao
walipiga mabomu
haya yote kutia hofu ili zanzibar ionekenane kuwa kuna chuki za kidini hivyo mfumo wao serikali 2 uendelee na kuendeleza ukoloni wa kanisa znz.
wewe kama hujui habari ndio hio
wanao fanya hayo ni ccm wenyewe na makundi yao ya kitarahamwe ya janjaweed na mbwa mwitu.na amri inakuja kuotoka bara

[/QUOTE]
 
walio vunja makanisa huko znz ni interharamwa. inajulikana wazi wao ndio walio unda vikundi kama mbwa mwitu, janjaweed haya yote ni makundi ya ugaidi yanayofanya uhalifu zanzibar na kufadhiliwa na interharamwe ccm ..this is the facts.
makanisa wanavunja wao
mapadri wameua wao
walipiga mabomu
haya yote kutia hofu ili zanzibar ionekenane kuwa kuna chuki za kidini hivyo mfumo wao serikali 2 uendelee na kuendeleza ukoloni wa kanisa znz.
wewe kama hujui habari ndio hio
wanao fanya hayo ni ccm wenyewe na makundi yao ya kitarahamwe ya janjaweed na mbwa mwitu.na amri inakuja kuotoka bara


Logic yako imenipita kidogo. Waliomuua padri na kuwamwagia tindikali wale wasichana wa kikristu walikuwa wamisheni wenzao? Hao hao wamisheni walichoma makanisa na kuvunja vibanda vya biashara vya wamisheni wenzao ili kuonyesha kuna chuki za kidini Zanzibar! Hatma yake, unasema, ni kuendeleza utawala wa KIKRISTU Zanzibar! Sina hata la kusema.

Amandla.......
 
muheshimiwa lukuvi kwa hili umekosea sana haina budi uachie ngazi kunusuru chama chako vinginevyo sijui
 
Nyerere aliwahi kusema kuwa mwanasiasa yeyote akifilisika kisera hukimbilia sera ya udini na ukabila!

"Nyerere alikua akiishi kwa uzandiki,urongo ulokubuhu,fitna,majungu,mipasho,unafiki ulokubuhu,unyama na vitisho. Pia Nyerere alizoea vya kunyonga na hakuvimudu vya kuchinja! Nyerere alikua ni tapeli/jambazi lililokubuhu...yaani kama hawa matapeli/majambazi wanzie, akina Papaa Musofe na Mchaga Alex Massawe"! - By Tundu Lissu, Opposition MP/Chadema Political Strategist! Daah!
 
Kwa hili FaizaFoxy na kubaliana na wewe Waislamu wa zenji wananyanyaswa sana na hii serikali dhalimu ya ccm

Serikali yeyote itayokuwepo itawanyanyasa Waislaam, ni mfumo ndani ya Serikali ulioasisiwa na Nyerere ndio unawanyanyasa Waislaam. Bila kuachana na kuukemea na kuufuta mfumo wa Nyerere hata aje nani hapo atanyanyasa Waislaam.

Huo ndio ukweli, na kila Waislaam wanapouongea huo wanabezwa.

Sasa mnajionea wenyewe, sisi tunakumbusha vilio vyetu tu. Si Waislaam wa Zanzibar tu, Waislaam wa Tanzania nzima wanafanyiwa hayo hayo.
 
Logic yako imenipita kidogo. Waliomuua padri na kuwamwagia tindikali wale wasichana wa kikristu walikuwa wamisheni wenzao? Hao hao wamisheni walichoma makanisa na kuvunja vibanda vya biashara vya wamisheni wenzao ili kuonyesha kuna chuki za kidini Zanzibar! Hatma yake, unasema, ni kuendeleza utawala wa KIKRISTU Zanzibar! Sina hata la kusema.

Amandla.......

Umejitahidi kuwa mbunifu.wongo huu umeimarika kidogo.bravo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom