Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Ofisi ya waziri mkuu ni direct link na Ikulu,
kauli ya ofisi ya waziri mkuu ni kauli ya Ikulu.
otherwise wewe ni chichidodo, you hate your wn maggot.

Naona unashindwa kuelewa na kukubali mpaka leo kuwa Mfumo Kristo upo na Lukuvi na Mizengo Peter Pinda wamedhihirisha hilo.
 
Ushahidi wa Lukuvi sijauona hapo juu , bali nimeona ufafanuzi mzuri wa Pro. Lipumba.

Pitia hizi nyuzi utauona tu, kusoma post moja kwenye nyuzi yenye post zaidi ya 650 na zinazidi kila dakika, ni kama kurukia daladala kwa mbelle, nakushauri pitia posts zingine utayaona, na kama bado hujayaona rudi tena ntakupa kink.

Yaani hata gazeti la udaku la Mbowe limeyaandika na limebandikwa humu wewe hujaona?
 
Makubwa

Mkuu sidhani kama wakristo wanataka serikali mbili, kinachofanyika hapo ni kutumia umaarufu wa viongozi wa dini na kuwatumia kusaidia kuhamasisha serikali mbili. Miaka ya nyuma ikitokea viongozi wa dini wameipinga serikali, viongozi wetu waliibuka na kuwaambia wasichanganye dini na siasa lakini ajabu leo wapo sambamba na msimamo wa serikali mbili inaonekana wapo sawa. Funzo hapa in future ikatokea viongozi wa dini wanatoa tamko lolote linaloenda kinyume na serikali itabidi serikali ivumilie tu kama inavyovumilia kipindi hiki cha katiba mpya.
 
Duh. Matusi hayo kunibadilisha ID yangu.

Udhaifu kwa Serikali kuhusu Waislaam umeanzia kwa Nyerere nakushangaa wewe usiyeyajuwa hayo wakati kila siku tunalalamikia humu JF.
Pole mwaya, mambo ya touch screen hayo, serikali si ni ya ccm, kwa nini wasirekebishe? au ndiyo yale ya zidumu fikra...?
 
soma vzr, nimetoa mifano na kuthibitisha. Ww ni msakatonge unaogopa kupokonywa tonge mdomoni. Rudia tena ujiridhishe. Km una utashi halisi na mzalando kweli utaelewa.
 
muheshimiwa lukuvi kwa hili umekosea sana haina budi uachie ngazi kunusuru chama chako vinginevyo sijui

Lukuvi kaongea ukweli mtupu...ukijivua akili za siasa ndio utamwelewa....waislamu wana lao jambo na Znz
 
soma vzr, nimetoa mifano na kuthibitisha. Ww ni msakatonge unaogopa kupokonywa tonge mdomoni. Rudia tena ujiridhishe. Km una utashi halisi na mzalando kweli utaelewa.

Tunawasubiri kwenye chaguzi.wananchi ndio wanawakataa wasaka tonge.huoni ukweli ndugue
 
Kama hawataki selikari tatu waambie waunde moja. Zanzibar itambulike Kama Jimbo. inaniuma naposikia Zanzibar halafu Tanganyika wananiita Tanzania bara. aliye sema tuungane tuliunganisha nini mbona kuna wazanzibar na watanganyika kwa nini wasiseme watanzania Au mnamaanisha wazanzibar ni kabila
 
Pole mwaya, mambo ya touch screen hayo, serikali si ni ya ccm, kwa nini wasirekebishe? au ndiyo yale ya zidumu fikra...?

Hapo umenena, fikra za Nyerere zilizoifanya hii nchi ikawa maskini wa mwisho duniani sisi tunaziendeleza. Hapo sasa!
 
Tunawasubiri kwenye chaguzi.wananchi ndio wanawakataa wasaka tonge.huoni ukweli ndugue

mmebobea kwa wizi wa kura na kubadilisha matokeo. Mchakato wa katiba mpya unaonyesha your true colours. Mmeshikwa pabaya? Mwisho wenu una karibia.
 
mmebobea kwa wizi wa kura na kubadilisha matokeo. Mchakato wa katiba mpya unaonyesha your true colours. Mmeshikwa pabaya? Mwisho wenu una karibia.

Ee kweli.lugha hiyo imepitwa na wakati.hicho kisingizio ni rahisi mno.unashindwa uchaguzi halafu unasingizia wizi wa kura!
 
Uslamu umemshinda Bush wa Marekani mwenye madege ya kileo na intelligence ya hali ya juu utaweza wewe Mwenda Wazimu Lukuvi
 
Tatizo lipo hapa.ccm isisingiziwe

Naona unashindwa kuelewa na kukubali mpaka leo kuwa Mfumo Kristo upo na Lukuvi na Mizengo Peter Pinda wamedhihirisha hilo.

Duu huu mfumo kristo cjui nani anafaidika nao.Yaani hata cjui kabisa,am a Christian lakini huu mfumo kwangu mbona ciuelewielewi.
Lukuvi bado hajajiuzuru tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…