KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Japo mi ni UKAWA, lakini huyu jamaa kaongea ukweli mchungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo mi ni UKAWA, lakini huyu jamaa kaongea ukweli mchungu.
Kaka huu sio ukweli huu ni uchonganishi kwa watanzania,wazanzibar wana dini yao lazima iheshimike,pale wazanzibari wanaposema wanatawaliwa na mfumo wa kikiristo wanasema hivyo kutokana na kauli za viongozi kama hawa,huyu jama anatakiwa ajiuzulu anaweza kusababisha vita vya dini Tanzania..
KAMA unasema kweli jibu hili swali.Mkuu wakristu kule zazibar watafurumushwa, Lukuzi hajakosea kwa hilo.
KAMA unasema kweli jibu hili swali.
UKIRISTO UMEKAA ZANZIBAR MUDA(miaka mingapi) GANI KABLA YA MUUNGANO HUU WA SASA?
Hukuelewa swaliUislam uliokuepo zama zile sio uislam huu wa sasa wa uamsho,alkaida,alshababu,boko haram. Uislam wa sasa umebadili uelekeo,umejaa chuki,fitina,mauaji. Mimi pia ni ukawa ila nikiangalia kwa jicho la tatu wakristo znz wako hatarini km serikali zitakua 3. Ila mwsho naipenda Tanganyika.
Mkuu wakristu kule zazibar watafurumushwa, Lukuzi hajakosea kwa hilo.
allah anasema "wanayosema(makafir) katika vinywa vyao ni badogo sana kuliko yaliomo ndani ya mioyo yao."
Mbona hakuna kibaya alichokiongea? All are true facts ambazo ni known.