Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

Problem: Znz ikiwa na serikali huru.
itaanzisha dola ya Kiislam

Fact: Wakristo waishio Znz hawafiki

%1

Solution: Wakristo waishio Znz

wahamishiwe Ukerewe,
kama suala ni kuishi.
visiwani!
Justification: Refer Pakistan-

Bangladesh migration,

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Endelea kuvuta bangi, utaona matokeo yake.
 
..................very shameful Lukuvi, kamalizia na kupigania maslahi ya Lytonga Mrema kisa kabakia mjengoni.
 
Unaweza kuiona kama propaganda lakini wakati huo huo ukitafakari kwa umakini kuna ka ukweli-ukweli ndani yakda.
 
Uwaziri hauna heshima tena nchi hii ..alianza zimbabwe +zanzibar leo nimejionea kituko kingine cha mtu anaitwa lukuvi..kikwete nenda tu hakika umeweka historia
 
Uwaziri hauna heshima tena nchi hii ..alianza zimbabwe +zanzibar leo nimejionea kituko kingine cha mtu anaitwa lukuvi..kikwete nenda tu hakika umeweka historia

Na JK mwenyewe si aina hiyo hiyo. Uteuzi wake unaakisi kiwango chake cha akili, busara, hekima, nk. Hadhi ya urais imeshguka, hadhi ya uwaziri ndiyo hiyo akina Lukuvi na Mchemba, nk.
 
Nimemsililza huyu jamaa nikagundua he might be having brain tumors, he is conceptually poor, sijui tu hisi positions walizonazo huwa wanapewa kwa kutumia vigezo gani? Unashindwa kuamini kwa level yake na position yake anashindwa kupima athari za matamshi yake kwa umma.
 
Na JK mwenyewe si aina hiyo hiyo. Uteuzi wake unaakisi kiwango chake cha akili, busara, hekima, nk. Hadhi ya urais imeshguka, hadhi ya uwaziri ndiyo hiyo akina Lukuvi na Mchemba, nk.
Kweli mkuu yaani vurugu mechi .kwa mtaji huu nimeamini hata bila rais tungekuwa mbali sana
 
chili bunge maalumu la katiba limepwaya kuliko kawaida.natamani rais awaze vema
tena kwa kichwa chake mwenyewe Vila kushirikisha ushauri was akina lukuvi afute bunge hili na aunde jingine lisilo na wanasiasa. maccm wameharibu mwenendo wrote.
kinacbijadiliwa hakipo hata katika rasimu was hakikuwa maoni ya watanzania. hakuna name sijui hio rasimu wameipata wapi wanayoijadili , kwani rasimu ni ya serikali tatu.

Da! Tulia basi unapoandika.
 
Lukuvi amemzalilisha rais aliyemchagua kukaa kwenye kile kit anachokalia
 
Lukuvi ni mgonjwa anayetumia dawa kali sana , inawezekana zinamuathiri kiakili na kumpelekea kuropoka na kupanga njama za umwagaji damu ilimradi ccm ibakie madarakani.
 
Back
Top Bottom