Lula asiposhinda Brazil itakuwa mwisho wa nchi Demokrasia duniani, waliopata Demokrasia wataendelea kubaki hao hao, demokrasia itatoweka kwao pia. Ambao hawakupata demokrasia hawatakaa waipate.
Democrats wamejipa umuhimu kwamba wao ndio wameshikilia mpini wa Demokrasia duniani lakini kiukweli wao ndio chimbuko la Kila jambo baya linalolenga kuharibu utu wa mwanadamu....
Bolsonaro ndiye mtu sahihi kwa Brazil...