washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.
Changamka ndugu, hii sio Birthday Party, ni kujipongeza na ushindi wa mauaji waliyoyafanya!
Connect dots utagundua kitu!
Ugomvi wa Lulu na marehemu ulitokana na simu kati ya Lulu na Dk Cheni usiku ule wa tukio, baada ya Lulu kumaliza kufanya mauaji aliyemchukua na gari alikuwa ni Ali Kiba (alikompeleka hatujua, ilikuwaje Ali Kiba akawa maeneo aliyopo Lulu usiku huo hatujui, je, walionana tu au alimpigia simu ili amfate, au walipanga utanisubiri mahali fulani hatujui, baada ya yote kutokea Dk Cheni amekuwa bega kwa bega kuhakikisha Lulu anatoka nje).
Baada ya yote hayo, angalia idadi ya mahudhurio, upendo unaoonyeshwa kwenye picha hizo zenye kuwahusisha Ali Kiba, Lulu na Dk Cheni.
Mnishamehe, kesi iko mahakamani. Sikutakiwa kufikiria hivi nilivyofikiria maana naona kama wataumbia, "Mkome si mnajifanya mnampenda, mpendeni sasa!"