Lulu aangusha bonge la "birthday party"

Lulu aangusha bonge la "birthday party"

Nyetk

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,648
Reaction score
1,698
Ni ya kufikisha miaka 18 ya kuzaliwa.

MY TAKE:
Whom dose she think she is still fooling hata kama wote tunajua hafungwi tena? Angekaa kimya tu ingemsaidia zaidi kuliko kutonesha madonda yaliyoanza kusahaulika.
 
lulu.jpg
Leo
Elizabeth Michael ametimiza miaka 18.....Anadai kuwa wanaodai kuwa
amezeeka imekula kwao maana ndo kwanza anauanza utu uzima

lulu+michael.jpg

lulu_michael31.jpg

lulu_michael4.jpg

lulu_michael5.jpg

lulu_michael6.jpg

lulu_michael7.jpg

lulu_michael9.jpg

lulu_michael10.jpg

lulu_michael10ii.jpg

lulu_michael11.jpg

lulu_michael12.jpg

lulu_michael13.jpg

lulu_michael14.jpg

lulu_michael15.jpg

lulu_michael16.jpg

Read more: "WANAOSEMA NIMEZEEKA IMEKULA KWAO....LEO NDO KWANZA NIMEFIKISHA MIAKA 18"...LULU MICHAEL - GUMZO LA JIJI
 
Huyu nae asituchafulie hewa hapa. Nani anahangaika nae hadi aseme waliosema amezeeka imekula kwao?kwanza ka matendo yake tu alishajizeesha long, hyo miaka ni namba tu. Mtoto mdogo mambo makubwa khaaaaa, kusoma ndo alishazungusha duara na kurudia hataki basi laana tu
 
Kigoli wa miaka 18! Na hiyo kauli yake keamba "wanaosema nimezeeka......!" Inanitia kichefu chefu kweli! Huyu malaya hana mshauri?
washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.
 
Ma.laya mzee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Uyo apo nikama yule alikeyo wa kigooumaa au? Ntakuwa nime mfananishaaa.
By the way haini usu pia .
 
Huyu nae asituchafulie hewa hapa. Nani anahangaika nae hadi aseme waliosema amezeeka imekula kwao?kwanza ka matendo yake tu alishajizeesha long, hyo miaka ni namba tu. Mtoto mdogo mambo makubwa khaaaaa, kusoma ndo alishazungusha duara na kurudia hataki basi laana tu

ni kweli akili za wasanii wetu kama kifuu cha nazi wanaiga superstars wa kweli hawajui hao fedha zao huwekeza kwanza ndipo huponda raha.fedha hizo angewekeza.muulize msanii wetu kwanza amewekeza wapi atakwambia anasaluni kama mwanaume atakwambia anaklabu.ndio akili zetu wabongo zinaishia hapohapo.
 
ina maana lulu hatakiwi kufurahi kwa ss?...na hayo magazeti hayo,hee
 
washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.
Tatizo watu hawajui tofauti ya kuzeeka na kuchakaa,yule mtoto amechakaa hajazeeka! uzee unatokana na factor ya umri ,uchakavu -matunzo ,matumizi au yote mawili!
 
washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.

Changamka ndugu, hii sio Birthday Party, ni kujipongeza na ushindi wa mauaji waliyoyafanya!

Connect dots utagundua kitu!

Ugomvi wa Lulu na marehemu ulitokana na simu kati ya Lulu na Dk Cheni usiku ule wa tukio, baada ya Lulu kumaliza kufanya mauaji aliyemchukua na gari alikuwa ni Ali Kiba (alikompeleka hatujua, ilikuwaje Ali Kiba akawa maeneo aliyopo Lulu usiku huo hatujui, je, walionana tu au alimpigia simu ili amfate, au walipanga utanisubiri mahali fulani hatujui, baada ya yote kutokea Dk Cheni amekuwa bega kwa bega kuhakikisha Lulu anatoka nje).

Baada ya yote hayo, angalia idadi ya mahudhurio, upendo unaoonyeshwa kwenye picha hizo zenye kuwahusisha Ali Kiba, Lulu na Dk Cheni.

Mnishamehe, kesi iko mahakamani. Sikutakiwa kufikiria hivi nilivyofikiria maana naona kama wataumbia, "Mkome si mnajifanya mnampenda, mpendeni sasa!"
 
Dk Savinus
Maronga aliliambia gazeti
hili kuwa baada ya kuona
kuna watu wengi
wanaopenda kuendelea
na masomo ya elimu ya
juu, lakini wameshindwa
kutokana na kutokuwa na
vigezo, TCU imeamua
kuanzisha mitihani hiyo
maalumu
 
Back
Top Bottom