Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata birthday ya mtu nayo tena inakuwa noma???????
Chezea waswahili wewee....!!! Wanataka Lulu akae tu ndani aoneshe huzuni..... Wazimu mtupu! Wacheni ale Raha
Leo![]()
Elizabeth Michael ametimiza miaka 18.....Anadai kuwa wanaodai kuwa
amezeeka imekula kwao maana ndo kwanza anauanza utu uzima
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Read more: "WANAOSEMA NIMEZEEKA IMEKULA KWAO....LEO NDO KWANZA NIMEFIKISHA MIAKA 18"...LULU MICHAEL - GUMZO LA JIJI
washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.Kigoli wa miaka 18! Na hiyo kauli yake keamba "wanaosema nimezeeka......!" Inanitia kichefu chefu kweli! Huyu malaya hana mshauri?
Kwa picha hii hata wakisema alimla nyama Kanumba tunaweza kuamini. Ah ah ahaaaaaaaaaaa..........
![]()
Huyu nae asituchafulie hewa hapa. Nani anahangaika nae hadi aseme waliosema amezeeka imekula kwao?kwanza ka matendo yake tu alishajizeesha long, hyo miaka ni namba tu. Mtoto mdogo mambo makubwa khaaaaa, kusoma ndo alishazungusha duara na kurudia hataki basi laana tu
Arudi tena gerezani...vado hajakua
Tatizo watu hawajui tofauti ya kuzeeka na kuchakaa,yule mtoto amechakaa hajazeeka! uzee unatokana na factor ya umri ,uchakavu -matunzo ,matumizi au yote mawili!washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.
washauri wake vipofu. hiyo miaka 18 anaipenda kweli ile aliyoifanyia party kabla ya kwenda jela siyo. Na hii ni mingine. Angeenda shule angejua "consequences" za mambo haya anayoyafanya. Na kwa staili hii tusubiri mengi yatamkuta hatumuombei mabaya. Kufanya B. party si mbaya lakini kusuguana na umma ndio tatizo. i.e waliosema nimezeeka etc. none of anybody's interest. Atakapofika tena uzeeni atapunguza miaka aliyoiongeza. kichefu chefu.