Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Ni ya kufikisha miaka 18 ya kuzaliwa.
MY TAKE:
Whom dose she think she is still fooling hata kama wote tunajua hafungwi tena? Angekaa kimya tu ingemsaidia zaidi kuliko kutonesha madonda yaliyoanza kusahaulika.
Photos: Lulu aangusha birthday party ya kutimiza miaka 18 « Maraha
Ina maana hii birthday ya Ngapi ya kufikisha miaka 18?
Mwenzetu Lulu miaka inarudi nyuma?